Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

End .

Endeleeni kudanganya vijana tu , Jikiteni shambani mlime dogo.
 
Tangu mwanzo nilitia shaka sana swala la wanaharakati kuomba asylum kwenye nchi za Afrika Mashariki.

Hizi nchi hazina guarantee ya usalama ni bora wangeenda huko Europe au Amerika ila sio huu ukanda.
Kwanini hawaendi huko Ughaibuni? Au kupata asylum huko ni shida?
 
End .

Endeleeni kudanganya vijana tu , Jikiteni shambani mlime dogo.

Akili hizo za kulima watekaji mbona hamna?

Mnazidiwa na hadi nchi za GCC ziko jangwani 99% zina maji safi ya kutosha kutumia hata tap water ni salama na wanazalisha matunda na mboga kuliko nyie.

Mngetumia akili hizo kutumia vyanzo vyq kutosha kuliko wao wenye bahari tu na maji chumvi tupu mngekuwa wazalishaji wa juu duniani.

Akili mlizonazo ni kwenda kuteka .

Jinga kabisa.
 
andika tena nimeteka ulipwe na hao mabasha wako akina sheb..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…