mwenyenchi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 657
- 186
Nakuunga mkono, ninatamani sana huu muungano dhaifu wa kulazimishiwa na Nyerere uvunjike then kama ni kuungana tena ipigwe kura wananchi tuamue sio watu wawili watulazimishe kuunganaKwani muungano hauvunjiki?
Serikali 3 zitavunja muungano na tanganyika yetu itarudi
mnakomalia muungano wenye matobo matobo wa nini?
Siku muungano ukivunjika nita fanya sherehe
Anwary ni mjinga , kama a nafikiri wingi ni silaha. Ghadafi asingeondoka madarakani, kama a nafikiri namba ni kila kitu hata hii katiba was ingekuwa wanajadiliana leo......wanatumia namba kwenye ukumbi watakosa namba nje ya ukumbi....
This guys is coward and kwa kweli amenikera sana, iinaonekana sasa ni shabiki wala hajui hata umhimu wa tafiti zinazofanywa; nilitegemea a comparison analysis of live and dying union government, ni dhahiri zitto anafaidiaka na mfumo huu wa ccm; ni dhahiri ana mgao wa kutosha kutoka katika mfumo huu batili kabisa katika jamii yoyote duniani; zitto anatweety. Akili za aina hii sijui hatawanapataje bahati kupata hata nfasi za ubunge, zitto mtu hovyo kabisa, nilitegemea aeleze hoja then atoe uchambuzi wa kitafiti kupingana na hoja za warioba; by th way already rasmu tunayo tayari uda mrefu alitegemea wanakuja kutoa tofauti?
Maelezo ya warioba kiukweli ni opportunity kubwa sana tena yenye suluhisho
Zitto: "Tujidae kisakolojaia kuvunjika kwa muungano"
tatizo demokrasia inataka hatimae mwisho wa mjadala kura zipigwe,hilo halikwepeki.waulinde muungano kwa kujenga hoja hili tuwaelewe sio kuulinda kwa wingi wa watu
Mkuu pokea Big LIKE
- Ndoa ambayo mke anataka kuishi kwao na mume hana kauli na hilo?
- Mke hataki kuachia ubini wa kwao pasi na kuchukua wa mume?
- Mke anayetaka mshahara wake ale yeye na wa mumewe wale wote?
Hivi kuna anayeweza kuniambia kwa dhati ya moyo wake madhara makubwa wanayoweza kuyapata watanzania wa kawaida kule Nanyumbu, Liwale, Mkuranga, Ulanga na kwingineko kama huu muungano utavunjika hata leo hii?? Ukiondoa wanasiasa nini hasa mtanzania huyu amefaidika nacho kwa dhahiri kabisa na huu muungano?? Kama umemsikiliza Mhe Warioba vizuri leo utabaini kwamba huo unaoitwa muungano (kwa maana ya nchi moja yenye dola mbili kama ilivyokusudiwa awali) ulishavunjika zamani mbona?? sasa uvunjike mara ngapi?? Kilichopo sasa nilivyomuelewa Warioba kwa maelezo yake ya kina ni kiini macho tu cha muungano.
Wote mkumbuke maneno ya Warioba:
y
Waasisi walituachia NCHI MOJA serikali mbili sasa hivi tuna NCHI MBILI serikali mbili
hivyo hakuna kisingizio cha kuwaenzi Waasisi, hakipo walichokiacha, ni juu yetu kuona mfumo gani unafaa zaidi ya huo wa serikali mbili uliodumu 50 years! Jibu ni Serikali tatu... Karibu TANGANYIKA YETU!
Ccm wameshaanzq
Ukweli utabakia kuwa ukweli hata kama hatuutaki, matumaini ya kupata katiba bora yapo mikononi mwa CCM, wanachoamua wao ni vigumu sana majority ya wananchi kukipinga (rejea chaguzi za Tanzania).
Piga ua galagaza tunahitaji kupata support ya kutosha miongoni mwa wabunge wa CCM ili kupata katiba bora. Kosa lilishafanyika kuruhusu wabunge wa Bunge la Muungano na lile wa Wajumbe wa baraza la wawakilishi la Zanzibar wawe sehemu ya wajumbe wa bunge la katiba, ilipaswa kila chama cha siasa chenye usajili wa kudumu kiteue watu kadhaa kuwa wajumbe wa bunge maaalum la katiba.
Tusirudie tena kosa, lets kwa umoja wetu tuwashawishi CCM wawe after nchi badala ya itikadi
Nchi MBILI serikali TATU itakuwaje?Wote mkumbuke maneno ya Warioba:
Waasisi walituachia NCHI MOJA serikali mbili sasa hivi tuna NCHI MBILI serikali mbili
hivyo hakuna kisingizio cha kuwaenzi Waasisi, hakipo walichokiacha, ni juu yetu kuona mfumo gani unafaa zaidi ya huo wa serikali mbili uliodumu 50 years! Jibu ni Serikali tatu... Karibu TANGANYIKA YETU!
Anajibu hoja za mzee kwa maneno mepesi na ya kipuuzi kabisa, huyu naye anataka Urais..!!??
Nchi MBILI serikali TATU itakuwaje?