Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hakuna uzalendo wala maslahi..japo maslahi yanaweza motivate kidogo..wengi Ni motivation za ndoto zao na kutaka kucontribute to humanityJaribu kutudadavulia kwanini unaona wana moyo wa kuchapa kazi ni kitu kinawamotivate?
Je uzalendo halisi au maslahi yako vizuri?
Issue sio kazi ni kazi zenye ujira.., Na sio ujira tu bali ujira wa kutosha..., ili watu wanunue hizo novel zako ulizotranslate (ingawa wabongo sio wasomaji) wanahitaji disposable income ya kununua kazi yako....Mkuu kazi zipo nyingi Sana..sema ndoo hivyo..mentality zetu tayari zilijengwa kuajiliwa. Mfano hata kama umesoma Kiswahili..eg We need a lot Swahili novels, translators vitabu and any resources for Swahili speakers etc. Ni mfano,kuna mambo mengi
Asia na baadhi ya nchi za ulaya is not for lazy.
Shida siyo kufanya kazi. Shida ni teknolojia, elimu na mishahara minono.Ni aibu kaka..huku speed ya hawa watu inatisha..unakuta kitoto miaka 16 kishafanya kaz shamban.supermaket etc..yaan
Nadhani maswali yako mengi nimeyajibu kwenye vipengele vinavyofuata na mtoa mada nilimpa tu food for thought.., Hard Work does not Necessarily pay kwahio angeweza kuongelea efficiency na effectiveness lakini sio necessarily hassling... nadhani ndio maana nikasema ni vema tukaangalia uhusiano kati ya uvivu na umasikiniUko sahihi.
Lakini mleta mada yuko sahihi pia. Sana.
Swali la kujiuliza ni ubora na utendaji wa watu wa huko ndio umewapa Mfumo thabiti unaowalinda wote kwa usawa ule ule kiasi kwamba matokeo mwisho wa siku ni almost sawa kwa wote kwa mujibu wa hiyo willingness ya kulipa gharama yoyote ili mradi kupata wanachohitaji?…ie Maisha mazuri…etc?
Je, sisi kinachotufanya tukwame ama kwenda mwendo wa kobe katika ujenzi mzima wa maisha yetu ni Mfumo ambao tumewekewa tu hata hatujui muwekaji ni nani na madhumuni ni Yapi? Kutunyonya?
Ama sisi ndio adui zetu kwa sisi wenyewe?
Kwamba tunahusika na aina ya Mfumo unaoendesha maisha yetu kiasi kwamba tuko katika mkwamo kwa sababu hakuna wa kumfunga paka kengele?
Kuna jambo lipo hapo kati linalosababisha utofauti huu mkubwa uliopo haswa ikizingatiwa kimaumbile tu ni wazi race ipi imependelewa kwa kiasi zaidi ya zingine katika kuendana na mazingira ya Dunia hii.
Je, hilo jambo ni makusudi na uumbaji wa binaadam mwenyewe? Ama ni natural force at work?
Tunaweza kulibadili na kupindua meza ama kuliondosha na kutengeneza usawa kati ya wote? Wa kule na wa huku?
We mzungu tuonyeshe mambo ya maana uliyoyafanya na yanagusa watuMwafrika hasa mtanzania anataka apige kazi masaa nane tena hayo bado anaona ni mengi,
Awahi kutoka kazini apitie baa amwagilie moyo na nyama choma huku akibishana simba na yanga.
Wanawake wanataka wawahi kutoka kazini wapitie saluni wakajirembe huku wakipiga soga na umbea.
Halafu jumapili wakajazane makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba Mungu wapate mafanikio.
Hawa ndio waafrika..!!
Tena waambie watanzania wanaona kula ugali ndio kuwa na miguvu, watu wanakula pizza na burgers, na wanapiga kazi kama wendawazimu. Ila watanzania wakiona huli ugali basi sijui wankuchukuliajeYaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Huu uzi unaojadili, watu wanajadili huku wamelewa?Hizo sio kazi mkuu ni mishemishe.
Ufanye kazi masaa 24 halafu unalipwa shiling ngapi?Mwafrika hasa mtanzania anataka apige kazi masaa nane tena hayo bado anaona ni mengi,
Awahi kutoka kazini apitie baa amwagilie moyo na nyama choma huku akibishana simba na yanga.
Wanawake wanataka wawahi kutoka kazini wapitie saluni wakajirembe huku wakipiga soga na umbea.
Halafu jumapili wakajazane makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba Mungu wapate mafanikio.
Hawa ndio waafrika..!!
Afrika hatuna mifumo kila kitu kipo shaghala bagalaNadhani maswali yako mengi nimeyajibu kwenye vipengele vinavyofuata na mtoa mada nilimpa tu food for thought.., Hard Work does not Necessarily pay kwahio angeweza kuongelea efficiency na effectiveness lakini sio necessarily hassling... nadhani ndio maana nikasema ni vema tukaangalia uhusiano kati ya uvivu na umasikini
Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...www.jamiiforums.com
Suala la kupindua meza au kwanini tupo katika hii predicament nachoweza kukwambia ni Kwamba Necessity is the Mother of all Invention.... hao western tunaowasifia leo wala civilisation haikuanzia kwao na mengi wanayofanya either waliyaiga au kuwa-subjugate wengine (miji kama liverpool imejengwa na kujengeka sababu ya Utumwa) Nchi kama Belgium imejengwa kwa jasho la Congo) - Great Britain ni Kisiwa ilibidi watoke huku na kule kwenda kutafuta colonies ili waweze kuishi...; Egypt vitu kama irrigation vilianzia huko....,
Africa ingawa ukiangalia historically vitu kama pottery na ufuaji vyuma tulikuwa navyo lakini maisha ya huku mtu angeweza kuishi bila kujituma (kwanini uhitaji fridge wakati una mtungi, kwanini uhitaji AC wakati ukilala nje unapigwa Natural AC)
Kwahio huku tunapoelekea when the push comes to shove na maisha yanazidi kuwa magumu for better or for worse mambo yatabadilika (watu lazima tutapigana na kuchukiana) kwanini you might ask..., Sababu hatuna viongozi bora, tuna viongozi ambao ni walafi wanajenga kesho yetu ya matabaka na watu wenye nothing to loose..., kwahio ikifikia hapo All Hell will Break Loose.....
Afrika watu walishajituma alafu wakajashtuka wanastaafu hawana kitu huku waizi wa mali za umma wakineemekaUfanye kazi masaa 24 halafu unalipwa shiling ngapi?
Mwalimu unayemjua anazidiwa hela na kondakta wa daladala
Ili maisha yawe mazuriAfrika hatuna mifumo kila kitu kipo shaghala bagala
Watu wamekataa tamaa kwa kiwango kikubwa sana
Tanzania hatuna mifumo yeyote ya kuwezesha wananchi kupata kipato viwando vyenyewe ni vichache hakuna cha maana sana walichofanya ccmSasa bongo kazi zenyewe ziko wapi? Watu tuko iddle sana, tunatamani hata tufanye kazi tatu tati ila hata hiyo moja ni mtihani!
Ni kweli....Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Afrika watu walishajituma alafu wakajashtuka wanastaafu hawana kitu huku waizi wa mali za umma wakineemeka
Yaan afrika hakuna mifumo ya uzalishaji ambayo imewekwa na ambayo itanifaisha watu
Mfano scheme zote zilizopo za kilimo za umwagiliaji ni za mkoloni hakuna scheme ya maaan tumejenga sisi na ziko walizojenga wakoloni zimejifia