Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Wakati tunafurahia Twitter bila VPN, tukumbuke kuboresha maudhui yetu yawe yenye afya kwa taifa letu kila siku, tuhamasishe zaidi Umoja na Mshikamano wa kitaifa.
 
hili nalo limepita ,,,
 
mwendo ni ule ule,kwenye spana tunapiga spana na kwenye nyundo tunagonga kama kawa,haturudi nyuma.
 
Haa nmetoka kujaribu imekubali

Kweli Magufuli alikua dikteta
 
Hivi kipindi kile hayati ana tweet alikua anatumia VPN na yeye?
 
Watumiaji wa mitandao wa kijamii wa twitter sasa wanaweza kutumia mtandao huo bila kuwa na VPN

Twitter ni mmja kati ya mtandao ambao ilikuwa ngumu kuingia bila kuwa na VPN tangu Oktoba 2020. Ambapo mitandao mingine ilikuwa ngumu kuipata na baadae ilikuwa ikipatikana lakini twitter ikawa ngumu kuipata

Serikali haijatoa tamko kusema kilichotokea kwa mitandao kutopatikana kwa muda wte huo
 
Kwani mwendazake anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…