Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

Mbona kama imezingua tena
 
Hapana. Ni hisani tu tumepewa na mtawala aliyepo, inaweza kuondolewa tena October 2025
Taratibu tunaanza kurudi kwenye utawala wa sheria na uhuru wa kweli. Apumzike panapostahili marehemu dikteta uchwara.
 
Kijijini kwetu tunampenda mama yetu huyu mpaka tunapitiliza. Ingewezekana tungemjengea Sanamu kabisa kijijini kwetu. Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani twampenda mama wenyewe kwa matendo yake tena kimyakimya wala haijasimama kujisifia kama yule jamaa
 
Wewe jamaa njoo hapa haraka!! Umeweka kitu ya uwongo huku na unajua kabisa maafande tupo huku? Hii si ni madharau wajemeni? Hebu mwambieni azunguke huku nyuma ya simu nimuhoji vizuri kwanza!! Hakuna twitter bila vpn,tumeelewana?
 
Reactions: Lee

Wamekuwa kama tanesco ila kabla ya lisaa limoja ulikuwa mwendo bila vpn
 
Moderator badilisheni kichwa cha habari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezea , yafungwa tena
 
Waliiachia ila naona saahivi wameibana tena shubamiit😡
 
Hapana. Ni hisani tu tumepewa na mtawala aliyepo, inaweza kuondolewa tena October 2025
Sina uhakika sana lakini inaoenesha huyu mtawala nae hakupendezwa na mambo mengi ta kishamba ya marehemu dikteta uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…