pass over
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 362
- 336
Anatoa machimbo kimasikharaumewapa watu page ya kwenda kutanzama [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoa machimbo kimasikharaumewapa watu page ya kwenda kutanzama [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Anatoa machimbo kimasikhara
Hauna maana yeyote unadhalilisha watuJamiiforums bado mtandao wa maana sana.
Sipo Twitter, Instagram, Telegram, Facebook, Badoo, TikTok na social media nyingi tu ila nipo LinkedIn, Goal.Com, WhatsApp, Google, YouTube, Jamii Forum na sijapungukiwa chochote.View attachment 2591256
Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati akitoa nyongeza ya majibu ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest ambaye amehoji mkakati upi wa Serikali kuhusu watu wanaohamasisha uvunjifu huo wa maadili.
Nape amesema serikali ilishadhibiti vitendo hivyo ikiwemo kuzuia matangazo kwenye vyombo vya habari lakini akasema kumekuwa na changamoto kwenye mitandao ya kijamii ambako nako wameanza kudhibiti.
Baada ya kuiona taarifa hiyo, kuna kitu nimekumbuka.
Zamani ilionekana Mtandao wa TWITTER ni wa watu wa hadhi fulani hivi kulinganisha na FACEBOOK.
Lakini siku hizi, TWITTER imevamiwa na wahuni wanaoutumia mtandao huo kuhamasisha ngono.
Kumekuwa na utaratibu siku hizi ikifika usiku utakutana na posti yenye kichwa kinachosema "Haya watoto wameshalala threads" halafu inasindikizwa na picha chafu.
Ukiangalia hizo reply, ni balaa zito. Utakuta video za ngono, picha za uchi, yani tafrani.
Hujaingia twita na kuona udhalilishaji. Humu kuna udhalilishaji gani.Hauna maana yeyote unadhalilisha watu
Pole mkuu 😀Tangu huyu Elon Musk anunue mtandao maarufu wa Twitter na kuubadili jina kuwa X, mtandao huu umekuwa wa hovyo balaa na umechukua uhalisia wa herufi hii inavyotumika mtaani. Kwa kuweka mambo sawa ni kuwa mtandao huu umekuwa PORN SITE. Huhitaji kuwasha VPN kuona uchafu uliopo hapo.
Leo nimefedheheka baada ya kufungua X nikiwa kwenye bench na watu tunaoheshimana sana. Mara ikaja picha ya mwanamke mzungu akiwa uchi wa mnyama. Nilijisikia fedheha sana maana huenda wamedhani ndio zangu kuangalia ujinga kama huu kumbe ni mtandao huu wa kijinga usiochagua cha kuonesha na cha kuficha.
Kwa nini hawa hawana setting ya kufilter mapicha ya hovyo kama haya?
Inakera sana!!