Mkuu natumia Twitter na ninajua kuna porn pages nyingi toka hata elon hajainunua, Ila hazijawahi kuniletea hizo vitu kwenye kurasa yangu.
Hivyo, ukiona hivyo vitu ujue alogarithm ya Twitter imesoma kuwa kuna vitu unapenda kuangalia mara nyingi na yenyewe inakuletea baadhi ya page kama suggestion
Ingekuwa google tungesema labda ni tangazo Ila kwa tweeter, hapana mkuu