Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

Twita niliisha malizana nayo
Mtu had unaogopa kufungua app ukiwa kwenye daladala
 
Malezi ndio tatizo...page za ngono kufungia huwezi...
Mwanaume hatakiwi kufanya Birthday party..serikali ifungie hizi party
 
Mbona wenzetu huko majuu ilipotokea twitter hayo mambo wanayafanya tangu zamani hadi video za porno wamekuwa wakiweka labda kama wewe ni mgeni twitter na bado inaheshimika

Ila akiwa mbongo anapost hizo mambo utasikia huu mtandao umekuwa wa ovyo siku hizi acheni kukuza mambo
 
Mambo ya twiraaa!!watu wamechoka miili na roho...ni mwendo wa kubustiwa tu,panda tukupandishe
 
Serikali hii nitaisapoti siku ambayo wataifungia Instagram na tik Tok
 
Nape amewathibiti. Naona wamepotea kwa muda. Labda watarudi baadaye.
 
Sipo Twitter, Instagram, Telegram, Facebook, Badoo, TikTok na social media nyingi tu ila nipo LinkedIn, Goal.Com, WhatsApp, Google, YouTube, Jamii Forum na sijapungukiwa chochote.

Hii dunia unapaswa ujiwekee mipaka kwa kila jambo si kupelekwa pelekwa tu kwa kufata mikumbo kama bendera.
 
wanasingizia kutokuwa na kazi ndio wana justify kufanya upuuzi mtandaoni, kimsingi kuna baadhi ya platforms zimekuwa za wauza papuchi tu
 
Tangu huyu Elon Musk anunue mtandao maarufu wa Twitter na kuubadili jina kuwa X, mtandao huu umekuwa wa hovyo balaa na umechukua uhalisia wa herufi hii inavyotumika mtaani. Kwa kuweka mambo sawa ni kuwa mtandao huu umekuwa PORN SITE. Huhitaji kuwasha VPN kuona uchafu uliopo hapo.

Leo nimefedheheka baada ya kufungua X nikiwa kwenye bench na watu tunaoheshimana sana. Mara ikaja picha ya mwanamke mzungu akiwa uchi wa mnyama. Nilijisikia fedheha sana maana huenda wamedhani ndio zangu kuangalia ujinga kama huu kumbe ni mtandao huu wa kijinga usiochagua cha kuonesha na cha kuficha.

Kwa nini hawa hawana setting ya kufilter mapicha ya hovyo kama haya?
Inakera sana!!
 
M naona ni jinsi unavyoperuzi ndio unaletewa hivyo vitu,
Mbna mm sijawah viona ?
 
Pole mkuu 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…