Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
So, Ndg Mwiba1 kaletewa akipendacho mitandaoni?
 
Ni kweli, ila unaweza kiset, kuona post za watu ulio wafollow tu.. hutoweza kuona mambo mengine,

Labda kama umewafollow, kina "shetani, miss connection, cyntcute.. mboga saba, wali nyama, na wengineo.."" hizo video utaziona tu
You are a fan too.
 
Umejielezea sana kwa kurudia mambo yale yale ambayo ungeweza kuyaelezea kwa aya moja tu.
 
Punguza kujielezea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…