Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

Hata kabla ya Elon Musk Twitter ilikua na ngono sana tu
 
Mbona twitter yangu haionyeshi hizo picha? Au mbovu?
 
Hakika nami nakereka sana na hili. Nilishaweka bango huko huko twitter nikilaani mwenendo huu mpya usiofaa wa kuigeuza twitter kuwa porn site na kijiwe cha kusaka machangudoa na mabuzi.

Hata hivyo tatizo hili lilianza hata kabla ya Elon Musk kuinunua Twitter. Sijui mwisho wake ni nni!!
 
Page za porn haziwezi kukutokea km hupendi kuangalia hayo madude...kuna algorithms zinazofuatialia things u like mitandaoni, from there zinaaanza kukuletea suggestion ya vitu inahisi you might like, based on your online activities.
Si kweli. Labda kwenye sites zingine. Twitter hata kama huna interest ya porn zinakuja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…