Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Kaka watu huwa wanahack system za NEC kipindi hiki cha uchaguzi. 2015 watu waliingilia mtandao wa NEC kwahiyo kujihadhari ni vizuri
Kama watu waliingia mtandao wa NEC kwahiyo ndiyo wapigwe tu na wauwae huko zanzinzibar
Kama watu wanaweza kuingia kwenye tovuti ya NEC kufunga mitandao kunaweza kusaidia kitu kwa hao wenye uwezo huo wasiweze kupata internet kweli?
 
Sasa kwanini wewe unatumia wkt unajua its for good?
 
Kwa tahalifa yako kuzima internet ,ndo inakua shida Zaid ,hasa kipindi hiki ambacho dunia ipo Kasi,
Kwa Sasa watu wanatumia VPN ,network zao zinasoma mataifa ya ulaya ,access yatahalifa nyingi inapungua ila ila bado huko zinapo Soma ni rahis pata access za huku,
Sasa hapa umeondoa tatizo au umekuza tatizo,
 
Inasikitisha sana unapodai au wanapodai wana uhakika wa ushindi mkubwa halafu waenda funga mtandao uliotumia kukutangaza, ni woga, ubabe, wizi wa kura, au???!!!
Yadhihirisha kuwa kweli TZ imeporomoka kwenye demokrasia kwa kipindi cha miaka 5, haijawahi tokea, tunaogopa tunapoenda, yatutisha mno mno, kwani nchi zingine mbona hawafanyi hivyo hasa wale wapenda amani?!
 
We hapa umeandika kupitia mtandao upi, alafu kwa Nini mnapenda Sana kujikuta ,eti kuvuruga amani, we unafikili bila mitandao ya kijamii kutokuepo, ila pakawapo manyanya wadhani amani itakuepo? Haya Sasa mmezima ila watu wanakuja na mbadala, Mara wire,mengine ambayo mpaka uje kuyazibiti tiyari inakua too rate,kuliko uliyozoea Kama WhatsApp ,
Mkoloni aliondoka kwani kulikua na mitandao ya kijamii? Machief wamepigania Sana haki ,mitandao ya kijamii ilikuepo,sim zilikuepo? Na je hawakuwasiliana?
Amani inaletwa na haki, haya ya mitandao ya kijamii ni vitu vidogo
 
Kazi tunayo, haya wacha yaishe tuwape kura zao wale wajengeane mahekalu mpaka wavimbiwe na utajiri
 

Attachments

  • Screenshot_20201028-032526_Chrome.jpg
    83.9 KB · Views: 1
Hahaha MATAGA kelele zote hizi huku umedownload VPN... kumbe mnajua umuhimu wa kuwa na uhuru wa habari... la sivyo leo mngezima simu mkalala tu. Kwanini hamumsikiliza baba akiwaambia kitu?

Eboooooo jiangalie juu chini.. ukimaliza.. jiambie uache wivu.. kama unawataka wataje wakusalimie..
Bora ungekuwa crown labda ungejua ukweli wa muntu..

Na bado.. leo ni 💛💚💛💚💛💚💛💚💛

Magufuli Baba laooooooooo
 
Halafu huyo anajifanya yeye ni Mkatoliki Safi litirujia na Sala zote anazifahamu.
 
Nipo kituoni tayari hapa Mpanda namkataa Shetani Jiwe na mambo yake yote.
 
✓Kama utaki kupangiwa unatafuta nini apa Jamiii Forum. Au unafikiri wasapu, Facebook, Instagram, Twitter. Ni Kwa ajili ya siasa peke yake kuna bihashara nyingi zinakufa Leo na kupata hasara kwa sababu ya maswala ya siasa
Kuna mitanzania flani ni hasara wala haikutakiwa kuzaliwa.
Mijitu mijinga kama nini, kila kitu inatetea haiwezi kusimama na kusema hili baya.
Watu wanaoshabikia kila baya linalofanywa na serikali sijui kama ni watanzania kweli napata mashaka sana.
 
Umefikiria vizuri wewe?
Kilaza sana wewe. Kuna biashara nyingi zinafanyika kupitia hii mitandao we unaeleza utumbo kutetea watu wanaozima mitandao kwa tamaa zao za kubakia madarakani, kwani we Magu au Lissu akiwa rais anakusaidia nini?
Acheni kutetea utumbo, mbona mnakosa akili kwa sababu ya siasa tu? Maisha sio siasa pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…