Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Pakua Proton vpn
Msaada namna ya kujisajili kwa wale ambao hatuna akaunti katika mtandao huo tunafanyaje kwani sehemu inayohitajika kutumia jina na neno la siri pamoja na email havikubali sijui ni mahali gani ninapokosea.
 
Hapa dawa ni kupiga kura kwa wingii hadi jamaa aseme basi nimewasusia nchi yenu maana anapenda kususayulee
 
Sijaona sababu hasa ya kufunga hii mitandao.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ujinga sana Tanzania hii ndugu yangu. Tuhamasishane kwa nguvu tukapige kura na kulinda matokeo yetu leo ili kuondoa huu ujinga. Imetosha kwa kweli.
Na Umeme wamekata ili tukose charge kabisa. Najikuta napata nguvu ya kwenda kupiga kura leo ili niondoe huu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…