‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi

Toka mwaka 64 dunia yetu ya muungano inajifafuta

We Bwege 2026 uaongea kama tumeungana jana
 
Wazanzibar wengi ni wabinafsi na wafia dini..Nyerere hakuwafundisha hvo hayo ni matamanio yao na matakwa yao..Nyerere alisisitizo umoja na mshikamano.
Mdini alikuwa huyo Nyerere ? Alikuwa hasemi kwiii kwa maaskofu na wakifanya watakavyo
 
Hao bana hata ukiishi nao karibu ni watu washari na wana maneno maneno sana! Ushirikina ndo usisikie 🙌🏾

Kesi na vikao haviishagi… cha kusikitisha madume mazima yanakuwaga controlled na wake zao, ila kwenye dini wanajitia mwanaume ndo kiongozi. Jokes away ila kweli majamaa huwaga yana ufala sana 🙌🏾
 
Kwani Nani alimlazimisha Babu yenu Nyerere kuivamia Zanzibar?
Hata tusingeungana nina uhakika interaction ingekuwepo.

Wacha kutupa lawama kwa waliotangulia, yao yameshapita… nikuulize tu ndugu, hao wazanzibar kutwa ndoto zao kwendaga Oman na wanapapenda huko hatari! Kwani znz na Oman waliungana au shobo zao tu?!
 
Interaction ya kitu gani? Mbona Mombasa ilikuwa Sehemu ya Zanzibar mpaka 1963 hiyo interaction haipo ?
Babu yenu Nyerere aliwaingiza Choo cha mashoga kashughulikia nchi Za watu badala kushughulikia kuijenga nchi yake. Leo mnaburuzana na kisiwa cha watu hawazidi milioni 2
 
Maneno ya kebehi na matusi ya nini sasa Jagina? Katuingiza choo cha mashoga maana yake ni nini sasa?!… unajielewa kweli ndugu?!

Au Unakula bangi nini ?!😀😀
 
Maneno ya kebehi na matusi ya nini sasa Jagina? Katuingiza choo cha mashoga maana yake ni nini sasa?!… unajielewa kweli ndugu?!

Au Unakula bangi nini ?!😀😀
Choo cha mashoga maana yake hatujielewi , Hakuna kinachoeleweka Kama huu muungano wetu , Zanzibar iliungana na Nani tunaambiwa nchi ya Tanganyika ilikufa , , wapi umeona mtu kaungana na maiti ? Siasa ya nchi haijulikani , ujamaa au ubepari ? Tumo tu watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hii si Kama mashoga ? Humjui dume au jike ? Kuna kula bangi hapo?
 
Sisi Tanganyika ni wajinga sana. Tunashindwaje kukifanya hicho kidude(Zanzibar )kuwa mkoa wetu na kuvunja huo muungano uchwara.
 
Vunja muungano, zanzibar itambulike kama mkoa.... kuwe na serikali moja tu !
Kuwe na equal distribution ya mali/rasilimali !!!!!!

Mpaka hawa majamaa yanyoroke sawa sawa
Mwinyi naye ashushwe cheo na kuwa mkuu wa mkoa wa unguja.
Pemba iwe wilaya ya mkoa wa unguja.
 
Kifupi, wadanganyika hawataki muungano, TUPA KULE!
Znz na pemba waende kule na wadanganyika twende huku...
 
Sisi Tanganyika ni wajinga sana. Tunashindwaje kukifanya hicho kidude(Zanzibar )kuwa mkoa wetu na kuvunja huo muungano uchwara.
Ni kwa sababu hiyo Tanganyika ni Marehemu , Babu yenu Nyerere alishaiuwa 1964
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…