Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuteua na kutengua sio miongoni mwa uwajibikaji wa kisiasa?!Hakuna mjadala wa kuteua na kutengua, usihamishe mada kama hujaelewa uzi soma tena, hapo kinachojadiliwa ni uamuzi wa kuhakikisha vyombo vya sheria vinahusika katika kuwajibisha wale WATAKAOTHIBITIKA, na sio kuishia kutengua tu. Vipi mzee?
Makala nzuri sana. Tatizo Watanzania wanataka kusikia ile lugha ya Magufuli; Nimtumbue, nisimtumbue??Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo."
Maagizo ya Rais Samia kwamba Katibu Mkuu Kiongozi ahakikishe Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wote wa Taasisi za Serikali wanaipitia kwa kina tarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kujibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote zinazogusa maeneo yao ni maagizo sahihi kabisa
LAKINI KUBWA NA LA KUPONGEZWA ZAIDI NI MAELEKEZO KWAMBA YEYOTE ATAKAYEBAINIKA KUHUSIKA NA UBADHIRIFU NA UZEMBE WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA.
HILI LINATUONDOA KATIKA UWAJIBIKAJI WA KISIASA USIO NA TIJA SANA NA KUTUPELEKA KATIKA UWAJIBISHWAJI SAHIHI.
Makala nzuri sana. Tatizo Watanzania wanataka kusikia ile lugha ya Magufuli; Nimtumbue, nisimtumbue??
Magufuli alifanya makosa kwa kuwatuhumu, kuwachunguza yeye mwenyewe na kuwahukumu.
Aliwafungulia kesi za kutakasa fedha lakini Mahakama haikuwahi kumkuta yeyote akiwa na hatia kwa sababu ya KUKURUPUKA kupeleka watu rumande huku huna ushahidi.
Aliposhindwa ndipo akaanzisha Ujasiriamali Feki wa Plea Bargain, huku yeye na Biswalo Mganga, Dotto James na Profesa Kabudi wakificha hela za watuhumiwa China
Watawajibishwa na Rais kwa sababu ndiyo Mamlaka yao ya Ajira. Lakini itabidi hatua kama 2 au 3 zipite. Kwanza wakatoe majibu ya hoja za CAG zilizoibuliwa dhudi yao. Kumbuka hoja za CAG siyo UFISADI, mengine unakuta ni reconciliation ya hesabu, nyaraka kutoonekana na vitu kama hivyo.Mkuu Umeongea kwa Busara na Hekima sana na Kwa Utaratibu wa Sheria inavyotaka…
hongera kwa hilo.
naomba Nikuulize hivi Mfano Ikiwa baadhi ya Makatibu wakuu au wakurugenzi ndio wamehusika na ndio wamepewa waichambue nani atajua/Wawajibisha? Au wao hawawezi Kujusika Moja kwa Moja?
ukishajua kuwa kuna kitu kinaitwa plea bargaining ambayo inachagiza wizi inabidi unyamaze tu. nchi hii huwezi ukaiba mabilioni kisha ukafungwa. Samia anatupiga changa la mcho labda afute hiyo plea bargain. unaiba 1bil, plea bargain unalipa 50mil, unaachiwa huruKwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo."
Maagizo ya Rais Samia kwamba Katibu Mkuu Kiongozi ahakikishe Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wote wa Taasisi za Serikali wanaipitia kwa kina tarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kujibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote zinazogusa maeneo yao ni maagizo sahihi kabisa
LAKINI KUBWA NA LA KUPONGEZWA ZAIDI NI MAELEKEZO KWAMBA YEYOTE ATAKAYEBAINIKA KUHUSIKA NA UBADHIRIFU NA UZEMBE WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA.
HILI LINATUONDOA KATIKA UWAJIBIKAJI WA KISIASA USIO NA TIJA SANA NA KUTUPELEKA KATIKA UWAJIBISHWAJI SAHIHI.
Samia siyo aliyoileta Plea Bargain bali ni Mwendazake. Kuifuta ni jukumu la wananchi kuputia wawakilishi wetu au asasi za haki za raiaukishajua kuwa kuna kitu kinaitwa plea bargaining ambayo inachagiza wizi inabidi unyamaze tu. nchi hii huwezi ukaiba mabilioni kisha ukafungwa. Samia anatupiga changa la mcho labda afute hiyo plea bargain. unaiba 1bil, plea bargain unalipa 50mil, unaachiwa huru
We makalio nini? onyesha wapi?Wenzio wakisoma Kiswahili we ulikuwa unalaba kamasi
Hapo kuna sheria gani imetumika? Kulikuwepo na mahakama yoyote iliyoamua chochote?Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo."
Maagizo ya Rais Samia kwamba Katibu Mkuu Kiongozi ahakikishe Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wote wa Taasisi za Serikali wanaipitia kwa kina tarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kujibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote zinazogusa maeneo yao ni maagizo sahihi kabisa
LAKINI KUBWA NA LA KUPONGEZWA ZAIDI NI MAELEKEZO KWAMBA YEYOTE ATAKAYEBAINIKA KUHUSIKA NA UBADHIRIFU NA UZEMBE WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA.
HILI LINATUONDOA KATIKA UWAJIBIKAJI WA KISIASA USIO NA TIJA SANA NA KUTUPELEKA KATIKA UWAJIBISHWAJI SAHIHI.
Umefturu umeshiba unakuja kukurupuka.Hapo kuna sheria gani imetumika? Kulikuwepo na mahakama yoyote iliyoamua chochote?
Maigizo yanafanywa kuwa sheria?
Sheria ni kwa mtu anayeshukiwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani na si vinginevyo.
Nyinyi watu kazi zenu hizi za upotoshaji ni sehemu ya utapeli mnaowafanyia waTanzania.
Hovyo Kabisa.
Njia za kupoteza lengo , wewe unaona rais kafanya kazi kubwa?Umefturu umeshiba unakuja kukurupuka.
Rais Samia ameagiza watakaobainika wachukuliwe hatua za kisheria, wewe umekaza kichwa unajaza maneno tu.
Makatibu wakuu si ndiyo maafisa masuuli? (accounting officers) hawawezi kuchomoa kwenye hili. Wabunge ndiyo wanatakiwa wapitie hii ripoti halafu waijadili, siyo makatibu na watendaji ambao baadhi ni wahusika katika wiziIlitakiwa wakae pembeni harafu taratibu ndo zifuate kwa Sasa wanamuda wa kuharibu Kila kitu na watakuwa salama tu inawezekana ndo mpango wa huyo unaetaka tumpongeze
Sasa wewe hauoni kuwa mhe Rais ametoa mwanya wa kutafuta nyaraka feki? hivi unadhani ni rahisi kupata rist ya 1bln, rist za 10mln zinawatoa kamasi itakuwa hayo mab?Watawajibishwa na Rais kwa sababu ndiyo Mamlaka yao ya Ajira. Lakini itabidi hatua kama 2 au 3 zipite. Kwanza wakatoe majibu ya hoja za CAG zilizoibuliwa dhudi yao. Kumbuka hoja za CAG siyo UFISADI, mengine unakuta ni reconciliation ya hesabu, nyaraka kutoonekana na vitu kama hivyo.
Kama CAG ataridhika basi ataitoa hoja hiyo, asiporidhika atairudisha Bungeni tena. Hapo ndipo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya Katibu Mkuu.
wapi mi niliandika jiuzuru?Hapana, mimi sio vipi wewe?