Ila mimi ninachoona Rais vilevile angeona ni kwa namna gani serikali yake inaachana na kikokotoo kipya cha malipo ya watumishi wa umma ambacho wanalalamika ni kandamizi kwani inawezekana hayo majizi hasa ngazi ya halmashauri wanaona ni heri waanze kuandaa future zao kwa kutuibia tozo zetu wakijua fika wakija kustaafu wataambulia mafao kiduchu .Kuna haja ya kureview nalo hilo ili waendelee kuwalipa wastaafu wetu kwa kikokotoo cha zamani ambacho mstaafu alikuwa na uhakika wa kupata hela ya maana tofauti na sasa ambapo wastaafu wetu wanapewa kiasi kidogo sana
Sent from my Infinix X665 using
JamiiForums mobile app