Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

Unaandika kama vile ni west tu ndo kuna mfumuko wa bei ila hapa kwa Bi Ushung hakuna mabadiliko
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba hyo idadi ya Warusi ni mdogo kulingana na population yao sasa umefanya comparison na wale wa Ukraine kwa mantik ipi?

Kumbuka hii operation kwa Ukraine hawakuwa na option zaidi ya kulinda ardhi yao hivyo ni makosa kuwaweka kwenye mzani na urusi ambae amejitakia kwa kuchagua kupoteza hao raia wake hata kama ni wachache.

Lakini kubwa ni kwamba hii haikuwa hoja kuu. Nilidhani ungelenga hoja kuu utoe mjadala hapo.
 
Najua huna hoja
Ila umejaa vihoja
Mimi ni pro Africa
Ila ukileta data zitakazo Pinga hoja yangu nami nitakuletea data zinazosapoti hoja yangu.

Huna data na huna hoja nenda Facebook ukajifunze, huu sio mtandao wa mafanfa
Kama ulitaka takwim ilibid uwe wa kwanza kumuomba takwimu sio unasubir mpk uombwe takwim ndu uanze kuomba takwim , watu kama nyiny mnatuletea tabia za vijiwen humu ( tabia za kitoto ) , umeeleza mwenzio kakuomba takwim , sasa ww kama ulihitaj takwim ungeomba kabla ya kuandika utopolo huo
 
Mkuu punguza uswahili , kuanza kudai takwim baada ya kuombwa takwim huko ni kuonesha upo kwenye ligi na sio kujifunza ( tabia za vijiwen hz ) na hii inaonesha low IQ
 
Porojo umeanza kuleta wew na ndio maana wadau wanaziendeleza tena kiweled
Ukiombwa takwim toa takwim hlf omba na ww takwim sio na ww unaadai takwim kabla hujadefend hoja yako kwa takwim , kama ulitaka mleta thread adefend hoja yake ungemuomba takwim kabla ya ww kuleta hoja mpya bila takwim , hii inahitaj masters kuelewa ? Sasa hv tuna kizaz za mihemko kisichotumia akil tena , afrika iko kweny wkt mbaya kuwai kutokea tuvuke salama hiki kizaz Hopeles kbs , kizaz cha 1961s huwa tunakidharau ila ndo kizaz elite sana , wangepata hizi fursa zetu za kuwa na exposure na dunia bas wangeipeleka mbali sana Afrika
 
Mkuu hoja yako kuu ilikuwa ni ipi?
 
Ndio maana huwa nawaita wehu , yeye amezitoa silaha nchini mwake ? au sio hatar kwa majiran zake ? Kashazitukia silaha zak za hypersonic dhdi ya jiran yake , je majiran zake na wao wadai na yeye azitoe hizo silaha ? Mpk sasa Urusi hana hoja za msingi za kuivamia Ukraine , HALAF WEST HAWAJAWAI TOA SABABU ZA URUSI KUIVAMIA UKRAINE BALI PUTIN NDIO ALISEMA SABABU ULE USIKU WA UVAMIZ WA UKRAINE ,
 
Je, Kuna takwimu alizoweka?
Kuna namna tofauti ya kumjibu mtu mjinga.

Kama hajaweka takwimu kwa nini hadai takwimu?

Takwimu zinapingwa na takwimu anahitaji za upande wangu ili iweje?

Wewe na yeye wote ni kundi moja.
 
Unaamka zako asubuhi umejiandaa kutukanana na ma Pro wenzio unakuta na Breaking News:

Urusi yatuma maombi kujiunga NATO.
Hahahaaaa , hii ndo hatua inayofuata , unaeza hisi utan ila rais ajae atafanya hivo
 
Reactions: Tsh
Huu sasa ushabiki , BRICS ipi ? Russia mpk sasa ni kolon la China , warusi wanalia kwey platforms zao
 
Majibu umeshatoa,sasa unataka ujibiwe kipi?Na kila anayekujibu tofauti na unavyopenda inakuwa kesi!
Mimi nimeanza na kukupa anguko la uchumi duniani na hasa Europe kutokana na vita!
Umeishia drs la ngap? Maana huko ndo huwa wanajib bila ref
 
Mkuu hoja yako kuu ilikuwa ni ipi?
Hoja yangu kuu niliungana na Fanfa kwamba malengo aliyojipa urusi wakati anaanza operation bado hajayafikia mpk sasa.

1.NATO imeongeza member(Expand) na inaweza kuongeza wengine zaidi.

2.Security ya Urusi inazidi kuwa mbaya kwa sasa vita hadi ndani ya urusi.

3.Denazification bado Urusi ameshindwa na kwa hali ilivo sidhani kama ataweza kuwarudisha nyuma hao so called "neo-nazis"
 
Fanta anajua malengo ya Russia.?? 🤣🤣Vichekesho vingine hivi, huyo hata malengo ya yeye kuwa hapa duniani hayajui ndio aje ajue mlengo ya Russia?
Baba yako naye anajivunia kuwa mwanae ana akili. Tobaaa
 
Hilo Putin ameshalisema kuwa hana shida na Fins au Sweeden kuwa NATO kwasababu hawana ugomvi wa kimipaka!
Hilo ndio jibu la Rais wa Russia!Sasa unataka hapa mimi mtanzania niwe na majibu gani zaidi?
Lin Putin amekuwa na ugomv wa kimipaka na Ukraine ? Rudi chimbo katafute hoja mpya , Fin nq Urusi wamewai pigania maeneo huko mipakan mwao
 
Mbona unaji contradict mwenyewe, huku unasema hujasema kama ugomvi wa Russia na Ukraine siyo wa mipaka. Hapa unasema Russia na Ukraine wana "conflict ya kimipaka". Which is which????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…