On Oct. 4, Forbes Russia reported that the number of people who have left the country since Putin ordered the draft could be as high as 700,000, citing a Kremlin source.6 Oct 2022
Warusi wapo Milioni 140 na idadi waliokimbia hawazidi Milioni 1.
Hapo hapo Urusi imechukua ria zaidi ya Milioni kwenye majimbo ya Zaphorizia, Kherison, Lugansk na Donetsk na possible baadae kubeba raia wote waliopo Odessa na Dnipro.
Hivyo hoja ya raia waoga waliokimbia Haina impact hata kidogo kwenye demographics ya nchi.
Hao raia wengi watarudi baada ya hii special operation kuisha.
Ngoja tuangazie raia waliokimbia Ukraine
Over 8.2 million refugees fleeing Ukraine have been recorded across Europe, while an estimated 8 million others had been displaced within the country by late May 2022. Approximately one-quarter of the country's total population had left their homes in Ukraine by 20 March.
Hawa ni raia waliokimbia Ukraine mpaka mwezi wa 3 mwaka huu ambao ni recorded hivyo kwenye Taifa la watu Milioni 40 unaweza kuona athari zake.
Je, hakuna Waukrein waliokimbilia Urusi?
The United Nations estimates more than 2.8 million Ukrainians have taken refuge in Russia over the past year. Some – largely those who could afford it – have transited through Russia to other countries in Europe, and many have even made it back to Ukraine.
Urusi imepata ongezeko la watu zaidi ya 2.8 Milioni
Kumbuka waliokimbia Urusi hawazidi Milioni hivyo nchi ipi imegain?