Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Jamii forum imegeuka kuwa kijiwe cha umbea [emoji2] nimewanyoshea mikono [emoji119],dada atachambuliwa huyu[emoji23]....
 
Unajua watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja,kwenye hii dunia hata uzaliwe wapi siku walimwengu wakitaka kupata habari zako ni simple sana,sasa kwanini udanganye ukizangatia wewe ni maarufu?
 
Okay,ujue mm nacomment tuu sababu ya Zamaradi namfahamu lkn kinachoendelea huko mjini na Instagram sikijui [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwahiyo alifisadi ideas za watu,usikute nyingine ndio anazifanyia kazi
Pana mdada mmoja alistukia hiyo akajaribu kuwa alert watu, kwani walimsikiliza sasa.Zama kawa ahidi atakayetoa idea nzuri atazawadiwa pesa 1M na aliunda groups zaidi ya tano.Watu acha washuke na Idea zao.Alivyoona kazikusanya za kutosha akakimbilia Polisi akamtia ndani yule dada aliyekuwa anawastua watu kuwa wanadanganywa,kamlaza ndani week nzima.Baada ya hapo akayafunga magroup yote na hakutangaza mshindi na hata senti tano hakutoa.Mjini shule [emoji3]
 
Aiseee basi ana ujasiri wa hatari,unajua the way anajiwekaga mbele ya makamera na maneno ni tofauti na matendo yake
 
Sidhani kama Zamaradi alikuwa hajui?? Alimjua sana mumewe ndy maana alikuwa anam-brand kwa nguvu zote ili aonekane bora... Na huo ndy upendo Da Zama kama utasoma hapa keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…