Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Aiseee basi ana ujasiri wa hatari,unajua the way anajiwekaga mbele ya makamera na maneno ni tofauti na matendo yake
Na ndicho kilichowakera watu hadi wanafunguka uhalisia.Yuko tayari amuumize mtu yoyote ili yake yamnyookee na wala hajali.Dhuluma kwake ni kawaida sana, ukisoma comments nyingi hasa kule Instagram.
 
Na ndicho kilichowakera watu hadi wanafunguka uhalisia.Yuko tayari amuumize mtu yoyote ili yake yamnyookee na wala hajali.Dhuluma kwake ni kawaida sana, ukisoma comments nyingi hasa kule Instagram.
We malaya acha kumcharazia mwanamke mwenzio kama unamjua sana. We ushakata ringi tayari. Hivi haya unayosema hapa ungeyasema lini bila huu uzi!? Hebu jishikilie kidogo. Umekazaana mwenyewe kucharaza!!!!
 
Na ww umekosea sio "uhandishi" ni uandishi


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hio nyumba bimdashi amechukulia mkopo?!,huyu mwanamke anajaribu kutuaminisha mumewe yupo njema kifedha kumbe yeye ndio anaumia kwa kumaintane status ya mumewe
Nyie acheni tu, kuna muda mwanamke Una ndoto zako kubwa, halafu unajikuta uliingia kwenye ndoa na mwanaume Zamwamwa, ndoto yake kubwa ni ale wali wa Nazi na samaki...ajambiane, Yani karidhika.....ndo mwanamke unaanza kupambana kufikia malengo huku ukimantain his status Ili asikukwamishe.....Kina Zamaradi tumejaa tele mtaani.

Ila niwashauri wanawake, Kama you have big dreams usijaribu wala usithubutu kuolewa na wanaume wa ukanda wa Pwani, mostly hawana malengo. Wakati wewe unawaza muinvest mmiliki makampuni, yeye anawaza kuongeza wake amiliki K zaidi....hawana ambition kabisa kwenye maisha, wavivu.....!

Utaishia kuwa Zamaradi, huku unatafuta pesa, huku umaintain status ya mume asionekane umeme mdogo....na bado ukute mume mwenyewe ana gubu humo ndani....tumuoneeni huruma Zama, hapo ukute na kurogwa anarogwa na huyo Mume.
 

Ni kweli hao watu ukigusa huwezi kutoka wapo vizuri[emoji3][emoji3]
Back to the topic huyu mwanaume ni mswahili sana kaingiza mada ambayo haipo tantalila nyingi sana
Safari hii zama kaumbuka bora angekaa kimya tu
 
Amenikumbusha mchaga mmoja ex wangu akiandika sms ukimaliza.kusoma unaenda kumeza diclopar
Herufi kubwa kama zote halafu yaani upuuzi mtupu ngoja nione kama bado ninazo

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app

Unawezaje ku date na mwanaume wa hivyo
Mimi siwezi duh
Yani nikishaona hujui kusoma au kuandika hatuwezi kuwa wapenzi
 

Alichosahau mange kusema ni mume wa bi masumbuko pia ana mishe za kijambazi
Ngoja zama aendelee kujibu watu watafunguka tu
 
Hadi yule milly wa tz shaderoom alivalia njuga hilo swala, zama si ndo akampeleka polisi eti milly anamchafua.
Acha kabisaa Zama hapendi kuambiwa ukweli Si ht ishu ya reeeeeenji yake alivouza nyumba Kipindi Cha ICU wakaenda kuhoji Ili waje warushe Kwa tv ukweli,akawalima barua DSTV kua kikirushwa ana sueeee!!!wakatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…