Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Umeongea point kubwa sana dada baasi tu...
Kwanza hata mapenzi Yao ujue yalikua ghafla sana,Zama anatoka fiesta tabora hakwenda zingine kesho yake anaolewa watu wanashangaa wanaona Picha mtandaoni na Voice notes za Ruge akililia penzi!
Yaani na hivi baba Ake alikua mganga[emoji1][emoji1]weee..wakikuamulia hawakukosi ,ukibisha muulize diva kutukana kote karudi Kwa mganga mwenyewe
 
Tumuombeeni mwanamke mwenzetu....ukute anayoyapitia ni mazito Ila ndo anatapa tapa kulinda heshima yake.
Hebu fikiria kutoka Kwa big brain Kama Ruge halafu ujikute umeangukia Kwa Mzee wa Ulisi🤣🤣🤣
Zama amekwama, kuna siku atazinduka ataongea yote.
 
Wanawake Ni watu wa ajabu Sana. Hicho anachompendea mrithi ni kitu kimoja tu, si ajabu ni nguvu adimu, siku nazo zikiadimika atatujuza. Na Kama chakula ni wali wa Nazi, chips na sausage hazina muda mrefu.
 
Duh,kumbe ndo maana mahangaiko yale yote mara mabango,mara kununuliwa range,ndoa ambayo ni q supa hakuna haja ya kuhangaika kutaka kuwaonesha walimwengu.
Kumu make mtu ili muendane sio kazi ndogo,basi wanawake wanamuona mwenzao kama anabahati sana,thubutu single maza na watoto watatu juu mtu ajitolee burebure.
Kiufupi hana tofauti na akina shilole

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 

Yaani diva alijua kunishangaza[emoji23][emoji23]
 
Huu umbeya mpya kwangu,diva karudi kwa mganga?
 
Kwahiyo Diva sasa hivi mahaba ndindindi kwa sheikh?[emoji2]
 
Hii comment na isomwe na wadada wote ambao hawajaolewa yasije kuwakuta pindi watakapokuwa wanafanya maamuzi ya kuingia katika maisha ya ndoa.
 
Shida kubwa ya Zama nikutaka kujionyesha she is 100%perfect which is not true...
Kwanini uishi kwa ajili ya kuwadanganya watu ili upate furaha? Haya sasa mambo yanazidi kufuka moto...baba wa Ulisi anazidi kuanikwa hadharani...
Hebu kwanza ncheke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…