Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

nasikia wanaume wa huko wanavaa shanga
 
Kuna jamaa hajui kusoma wala kuandika lakini anapesa mingi sana sasa sijui uandishi sahihi unasaidia nini kwenye dunia hii ya kila kitu pesa.
Mzee wangu hana darasa hata moja kichwani,kusoma na kuandika alifubdishwa na mama yangu ila anatuma watu wenye shule zao.

Kuna demu mmoja ana bachela ya pharmacy O level aligonga 1.14 na advance two ila hajukutofautisha "H" A na R na L .

Kwahiyo hizi ishu za kuandika muda mwingine ni mtu alivyozoea.
 
Hapa mi nilichoona makosa anayofanya mwamba sheby ni yale yale ya kila siku kwa wengi wa elimu ya darasa la masela. Ila kinachokuzwa ni kwasababu tu watu wanachuki na ujuaji wa zamaradi tu.
reymage
 
Haka ka dada ni ka somji,na kalivyokakamaa utadhani mti wa mchongoma.Bora nipige puli kwa haka ka dada hata jogoo aliwiki.
 

[emoji23]hapana chezea mganga.
Naona mganga alikaa akasema ngoja amalize kuongea nimshughulikie
 
Alijitongozesha kwa ruge ili apate maisha,ruge akala na kumsibisha,Ila ndoa alimwambia ney
Zama katoka kwenye dhiki
Ndomana anafosi kuwaonyesha watu kuwa kawin maisha
Ku
 
Sawa baba yako ni mjinga na kakuzaa mjinga🤣🤣🤣
Hongera kwa hela za uchawi🤣🤣
 
Kweli mganga kiboko[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah aisee wadada ili kuepusha aibu ndogo ndogo,muwe mnaficha hao wagoroko wenu.

ujue mtu anawezakuwa mumeo,halafu akawa mpuuzi na wala tusihangaike naye muhimu ni wa kwako.tatizo ni pale unapotaka kutufanya wanaume wengine si kitu si lolote ila huyo wako.

kwakweli zile moment za bidada kumuanika jamaa morocco kwenye bango zilikuwa zinanichanganya sana,maana nilikuwa nawaza kama sio kuachwa siku moja basi ni fedheha ya maisha bidada atapata.
hii hapa sasa[emoji23][emoji23]
 
Alijitongozesha kwa ruge ili apate maisha,ruge akala na kumsibisha,Ila ndoa alimwambia ney
Zama katoka kwenye dhiki
Ndomana anafosi kuwaonyesha watu kuwa kawin maisha

Ku
Hahahahaaa....jamani mbona Zama kwao sio wa hovyo Sanaa!!!sema udada wa mjini Ndo walikua wanataka na alihakikisha Anakua wake hasaa!!!
Maishaa hayaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…