Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'


Dah nimecheka sana 😄😄😄😄 eti jamaa ni bumunda aliepambwa aonekane keki na mkewe.
 
Kweli kabisa,kuchukua mkopo si tatizo.Hata kina Mengi walikopa.Tatizo ni Zamaradi kakopa Bank ,the anakuja mtandaoni kudanganya watu kuwa TV pale ni nguvu za mme wake huyu Shabani. Anauza nyumba, ananunua range,anakuja kudanganya public kuwa Range kanunuliwa na Shaban.Yaani watu wengine ikute wanajiona hawafai kwa kuamini vitu ambavyo kiuhalisia ni uongo.
 
Hawa motivational wives kuna trauma wanazijenga kwa wanawake ambao kwa namna moja ama ingine wanaume wao hawawapi support ama wanawapa support duni..

Au kwa kuona alichofanyiwa Zamaradi, basi wanajiona wao kama walikosea kuolewa hapo walipo..

Kumbe huenda wao wako vizuri kumshinda huyo motivational speaker..
 
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.

Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..

Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.

View attachment 2745599
Kwanza jamaa kuchukuwa single mother mwenye watoto ni shughuli! Walidai ni ndugu ya Mh Majaliwa! Ina maana shule haikupanda kabisa kabisa?!
Sijacheka, imenisikitisha sana sana uandishi wake...
 
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.

Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..

Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.

View attachment 2745599
Hiyo inaitwa social diversion ili muhame kwenye mada kuu.. manyumbu mlivyo wajinga mmeingia wote mtegoni na sasa mnajadili kuhusu mwandiko wa mume wa zamaradi, yaani na wewe mtoa mada ni nyumbu tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…