Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Hii ni kweli, yupo mkaka namfahamu anazo semi trailer zake kadhaa ana biashara na mshiko mzuri tu ila ndo hivyo hajui kuandika vizuri, kuna siku hesabu ndogo tu ya darasa la nne ilimshinda ikabidi nimsaidie
Kua na pesa na hujui kusoma au kuandika, au unaandika kama huyo mume wa Zamaradi ni umaskini. Utajiri sio pesa tu na akili kidogo kichwani plus elimu. Ndio maana kuna tofauti kubwa sana ya matajiri wa Ulaya na Africa, Matajiri wengi wa Ulaya wamesoma kiasi lakini wana IQ kubwa huwadanganyi chochote kwenye kitu chochote.. Sasa tajiri unashindwa hesabu ya darasa la 4, huo ni umaskini tu.Pesa Karatasi.😂😂😂😂😂
 
Kua na pesa na hujui kusoma au kuandika, au unaandika kama huyo mume wa Zamaradi ni umaskini. Utajiri sio pesa tu na akili kidogo kichwani plus elimu. Ndio maana kuna tofauti kubwa sana ya matajiri wa Ulaya na Africa, Matajiri wengi wa Ulaya wamesoma kiasi lakini wana IQ kubwa huwadanganyi chochote kwenye kitu chochote.. Sasa tajiri unashindwa hesabu ya darasa la 4, huo ni umskini tu.Pesa Karatasi.😂😂😂😂😂
Taratibu kaka shem wako a na ha zinamsumbua ana maisha yake bomba tu na PhD ya medical,

ndo hivyo maisha yanachekesha tuendelee kuishi tu
 
Back
Top Bottom