Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Hajasoma ule ni muandiko WA mtu asiyeenda shule kabisaa au la Saba failure!!na hakika ht mwanangu wa la 5 haandiki vile,nimejua why Zama anatumia nguvu kubwa kuonesha mmewe ana pesa
Mbona mnatunyanyapaa sisi tulioishia drs la saba jaman?,kwahiyo mm mwandiko wangu umefanana na wa jamaa[emoji16]
 
Daima katika maisha ni bora kujifunza kukaa kimya ili angalau uweke shaka juu ya uelewa wako kuliko kuongea na kuondoa shaka yeyote juu upumbavu wako.

Kuna aina fulani ya picha Zamaradi alimtengenezea jamaa yake kiasi kwamba watu waliamini jamaa ni sophisticated na classy. Baada ya huo upuuzi alioandika picha halisi ya yeye ni mtu wa aina gani imedhihirika.

Kuiweka kiwepesi, jamaa ni bumunda lililopambwa lionekane keki na mkewe.

Kuna tofauti ndogo mno baina ya Mume wa Zamaradi na Uchebe aliyekuwa mume wa Shilole. Mume wa Zamaradi ni vile amewekewa mipaka na mkewe katika maisha yao ya maigizo, lakini isingekuwa hivyo angekuwa kama Uchebe kutwa mitandaoni kuandika upuuzi na uswahili mwingi.

Na hili la mumewe limedhihirisha pia kuwa Zamaradi ni mtu wa aina gani. Daima walio wamoja hukaa pamoja.

View attachment 2745605
Umeua
 
Back
Top Bottom