Pre GE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chawa wa Chadema 😅😅Hamna msafara kama huo ...Unapewa 20k kutetea watu wanakomba mabillion.
 
si mlisema hamumujibu sindano inawaingia
 
Usanii uliopitwa na wakati.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
si mlisema hamumujibu sindano inawaingia
Hawamjibu vipi wakati muda wote wanamuwaza Mheshimiwa Makonda na kuumia kwa namna wanavyoona anavyo wasambaratisha na kuwapukutisha CHADEMA huko mitaani.

Muda wote wapo bize kufuatilia habari za Makonda na kuzijadili kwenye page zao mitandaoni.Mbowe mwenyewe yupo Bize kufutilia hotuba za Mheshimiwa Makonda
 

Ndiyo maana nawashaurini, kwa nchi hii, ukiweza kukwepa kodi, fanya hivyo kwa jitihada zako zote, maana hata ukiwa mwaminifu, pesa yako itaenda kuchezewa na majitu ya ajabu, kama Makonda. Na kodi yako inaweza kwenda kutumika kuwateka, kuwapoteza hata kuwaua watu wasio na hatia.
 
Lucas mwashambwa Kijana wa Tulia anakwambia Dogo Makonda ni hazina ya Taifa anahitaji ulinzi mkali.
 
Umesahau posho za waandishi wa Habari.
 
Dogo una propaganda za kishamba sana unaitia aibu bavicha
 
Kuna faida gani ya kuongopa? Unatofauti gani na huyo Makonda anayedai kwamba alitumwa na Mboye kuya diss maandamano?
 

Muuaji hajawahi kuwa mheshimiwa. Atakuwa mheshimiwa kwa wauaji wenzake wanaopokea amri toka kwake, wamwue nani.

Kwa watu wema, huyu ni shetani.
 
Kwan kwenye maandamano si mlisema mnatembea kwa migumu mpaka UN lakini mlipanda nini Kwan 🤣
 
mpaka aanze kujitegemea ndio atakuelewa,
Lakini akiendelea kuishi kwa wazazi na ni mtu mzima ataendelea kulalamika tu daima kwasabb ni mtoto wa kudeka 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…