Pre GE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
17.3.2021 hadi 2030.
 

Attachments

  • FB_IMG_1706032626462.jpg
    44 KB · Views: 2
Ni sahihi na hata hizo plate number ni nyeupe, sidhani kama zipo Tanzania plate number nyeupe. Huyu hawara wa Mbowe akikosaga kitu cha kupost huwa anadanganya.
Halafu magari yote hayo hakuna hata moja yenye bendera ya ccm!
Huyu mfanyabiashara wa kimataifa ni muongo.
 
Huu ni uhalifu mwingine wa kutumia mali za umma kwa anasa.
 
Kero za wanyonge
 

Attachments

  • 81fab15aaf36451ab1c3a5b5af09448c_EA4A2258B121FCE5715B4C8F859BB3AB_video_dashinit.mp4
    5.9 MB
Juzi huajaona kaingia na mkokoteni anauvuta kama wale wanaobeba ndizi kule kiboriloni?
 
I don’t envy this but if this was chakademus, mngesema maandamano yalifana
 
Huu utetezi ndio wa hovyo kabisa kupata kutokea.... kuwatoa watu kwenye idara zao za kazi kwenda kwenye mkutano wa mwenezi ni matumizi mabaya ya resources. Huku ni kukosa maarifa.

Juzi nilijiuliza meneja wa mkoa wa Tanesco anatafuta nini kwenye mikutano ya chama???? Sikupata jibu zaidi kuona mnatupiga maigizo kuwahadaa wananchi huku mkitumia rasilimali za taifa pasina manufaa yoyote kwa raia.
 
Huyo Joyce hana jipya.
kwa mujibu wa sheria za JF Name calling ni makosa na unastahili ban , unaandika uongo bila hata aibu ili kunitweza , huyo mama mnayemsingizia hahusiki na nyuzi zangu hapa jf , jifunzeni adabu sisi wengine ni sawa na wazazi wenu

Huwezi kusifiwa kwa kutukana watu jf , hoja hupingwa kwa hoja , hatuwezi kudanganya halafu jf wakaacha tu uzi hapa jukwaani .

Mnatia aibu sana !
 
🀣
Ukiachana na upigaji wa hela za kodi, bado kuna mikopo toka nje na yenyewe inaliwa.

Unakuta kodi inatumika kwenye kufanikisha wizi wa kura kwenye uchaguzi 🀣
 
Mbona huu NI kama msafara WA Ruto juke Kenya, wakati WA uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…