Pre GE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona una hangaika na picha za uongo huo msafara ulikuwa unakwenda wapi na unatoka wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi na wale wanaozunguka kwa chopa?
Jf haiandiki uongo , nenda Jamii Check
 
Ndo maana huwa nasema CHADEMA kumejaa vijana wapumbavu pumbavu sana!
Sasa ni mjinga gani kwa akili yako ndogo kama kisoda hiyo unaweza kumdanganya kuwa huo hapo chini ni msafara wa Paul Makonda?!
Wewe na Boni Yai akili zenu ni mayai matupu!
Hata ukiwa na Chuki na mtu basi tumia akili japo kidogo kum- snitch!
 
Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana ![emoji24][emoji24][emoji24]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu ,huyo jamaa aliuguza mtoto wake zaidi ya miaka 17 Toka alipozaliwa alikuwa mtu wakitandani tu mpaka kifo ana haki kutolea huo mfano
 
Kama hujui kitu Shut up !
 
Ivi ww kichwani kuna ubongo kweli jishike mwenyewe kichwani
 
Huyu ndiye anatamba kusaidia wanyinge, instead, anawatumia wanted nge kama ngazi ya kupandia katika malengo ya kisiasa
 

Majibu yamepatikana leo 11 February 2024 katka kata ya Sululu wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=-MmlpiQYehA
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana
 
We
wewe ni kichaa sisi tulikuwa hatushangilii punda wala Magari yake...tulikuwa tunashangilia kuwakumbusha viongozi wazembe Wajibu na majukumu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…