paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Hatutawavumilia wezi temu hii, huchomoki mkuu.Kwa vile huna unalolijua, una haki ya kubwabwaja namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutawavumilia wezi temu hii, huchomoki mkuu.Kwa vile huna unalolijua, una haki ya kubwabwaja namna hii.
Unatuchimba biti kwamba tushindwe kusema, Ni kweli ukienda hospital wanasema hawana dawa, na mpaka sasa hospital ni Ela mapaka kwa watoto chini ya miaka mitano na wajawazito.Mfumo wa afya wa nchi hii lazima ubadilike kinyume na apo mtakuwa mnawaonea watumishi kila siku kuwa wanawaibia dawa....
Mzee nliandikiwa dawa flani hivi nlizunguka maduka yote wananiambia hakuna hiyo dawa mpaka pale nilipotoa fedha zangu binafsi na kuificha ile NHIF notice.Wakati anaunda tume na kamati lukuki ajue huku mahospitali HAKUNA DAWA hata Muhimbili yenyewe
Amfikirie mtu aliyelipa tshs 1500000 kwa mwaka halafu akifika hospitali anaishia kuandikiwa dawa akanunue kwa fedha zake
Pia atoe suluhisho la kwa nini maduka ya dawa ya watu binafsi hawakubali kupokea order za NHIF (tetesi:; huwa bila mlungula hawalipwi).
Mtu akitimiziwa ahadi zake atawajibika na kujituma kwenye majukumu yake unless otherwise ataona bora liende tu .miaka 5 bila nyongeza wala kupandishwa madaraja ubategemea nini?Suala la Afya Tanzania ni changamoto kubwa sana, pamoja na kwamba muda mwingine tunailaumu Serikali kwa mambo kadhaa kwenye afya ila watumishi nao wamekuwa sehemu ya hizi changamoto, wapo radhi watanzania wenzao wakose huduma na hata wafe kwa ubinafsi wao wa kuiba vifaa tiba, madawa nk.
Bila shaka wahusika watachukuliwa hatua kali wawe mfano, sitarajii hatua kali za kuhamishwa vituo vya kazi.
Haya mbona ni serikali nzima? Nenda ardhi, mahakama, uhamiaji uone kama kuna tofauti.Suala la Afya Tanzania ni changamoto kubwa sana, pamoja na kwamba muda mwingine tunailaumu Serikali kwa mambo kadhaa kwenye afya ila watumishi nao wamekuwa sehemu ya hizi changamoto, wapo radhi watanzania wenzao wakose huduma na hata wafe kwa ubinafsi wao wa kuiba vifaa tiba, madawa nk.
Bila shaka wahusika watachukuliwa hatua kali wawe mfano, sitarajii hatua kali za kuhamishwa vituo vya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe dishi lilishapoteza uelekeo kitambo sana. Yaani wewe hadi wakati wa Ku. Nya utakua unaiwaza tu Chadema. No connection at all!!
Hatutawavumilia wezi temu hii, huchomoki mkuu
Huna ujualo, yanakutoka tu.... majizi ni hao serikali yako na hapo wanatafuta mnyonge tu ili wajinusuru.
Wewe ndio hujui ukisemacho kwani Serikali ni nani!?
Subiri serikali inakuja kukagua ndipo utasema mimi nina wivuFungua na ww pharmacy yako acha wivu
Mmekalia majungu badala ya kufanya kazi, pharmacy zimeajiri watz wangapi? pesa zinapigwa kwenye miradi mikubwa huko hamsemi mnang'an'gana na kopo la paracetamol la shilingi elf 7 jamani!Subiri serikali inakuja kukagua ndipo utasema mimi nina wivu
Kwahiyo wizi wa dawa uendelee,serikali idili na wezi wa huko kwenye miradi,sindiyo Chief?Mmekalia majungu badala ya kufanya kazi, pharmacy zimeajiri watz wangapi? pesa zinapigwa kwenye miradi mikubwa huko hamsemi mnang'an'gana na kopo la paracetamol la shilingi elf 7 jamani!