Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

ndio kanuni yangu hiyo
 
Ndio zangu hizi
 
Hizi ndo formula zangu kasoro ya simu. Wala hazihitaji mambo mengi.
 
Em fafanua vizuri tukuelewe. Ubaguzi Upo vipi pale
 
Pole mkuu hii black/white...ila kama ulivyojibiwa hapo juu, hit them on their pockets, chukua pesa yako na nenda katumie watakao thamini uwepo wako, na hii sio rocket science, otherwise kama unapenda menu yao ifuate ilikoasisiwa,mother city!!!
 
Nilikula prawns chache kwenye kisahani halafu bili ikaja hiyo. Nililipa tu ili pasitokee ugomvi.😂
Sasa nyingine ukawaachia wao? Au hukuzipenda? Ungebeba tu siyo dhambi. We unaletea prawns unakula kibitozi unakula chache?
 
Hujatoa matukio, mimi ni mweusi na huwa ninaenda pale huduma napata sawa sawa na wengine watu wa race zote, kwani ulikuwa mweusi peke yako hapo?

Au ulilikuwa unataka ushobokewe kama unavyoshobokewa na wahudumu wa kitambaa cheupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…