Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

Mie nilikunywa maji ya jero kwa 3500 sema nilienjoi kinouma wanaija,wazungu,chooni kusafi kinyama,umekaa bahari upo nayo karibu mno. Mie sikuona huo ubaguzi labda saivi
Pale bahari na ile view ni nzuri, nadhani unalipia hicho pia. Ubaguzi hata mimi sikuuona.
 
"Kibagudhi", mkuu una kithembe?

Ingekuwa vizuri ukaelezea tukio hata moja, ili tuone kama kweli ni ubaguzi au watu wana inferiority complex tu..
 
Pale bahari na ile view ni nzuri, nadhani unalipia hicho pia. Ubaguzi hata mimi sikuuona.
Karambezi wana view nzuri sana kuliko Ctfm! Pamoja na customer care nzuri zaidi ya ctfm.. yani Dar Karambezi naona wako bora zaidi... sea view ya ctfm iko normal kama slipway sema tu vile vioo...counter yao ndio iko [emoji95]
Pia Ctfm haijuchi ila wahudumu bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…