Fafanua umefanyiwa ubaguzi gani ili vyombo husika vifahamu...umebaguliwaje?Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe , kama msipo dhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehem zingine !! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe upande wabongo !!
Karambezi pako busy sana sipapendi hasa wikiendi. Slipway sijawahi kupapenda sijui kwanini. Capetown pako overpriced sana.Karambezi wana view nzuri sana kuliko Ctfm! Pamoja na customer care nzuri zaidi ya ctfm.. yani Dar Karambezi naona wako bora zaidi... sea view ya ctfm iko normal kama slipway sema tu vile vioo...counter yao ndio iko [emoji95]
Pia Ctfm haijuchi ila wahudumu bado sana
40k ebu elezea bufee lilikua na mazagazaga gani?Siku moja nilikula hapo plate ya msosi kwa elfu 40 nikasema sitarudi tena
Aisee wakat prawns fungu ni elfu moja (1k) π π π πNilikula prawns chache kwenye kisahani halafu bili ikaja hiyo. Nililipa tu ili pasitokee ugomvi.π
Nadhani amechanganya ubaguzi na dharau. Kuna wahudumu pale wanadharau sana.Pale bahari na ile view ni nzuri, nadhani unalipia hicho pia. Ubaguzi hata mimi sikuuona.
Unataka kusema mleta maada alitolewa kwenye meza?Hizi hotel za beach kama huna uzoefu nazo unaweza hisi unabaguliwa...meza nyingi hasa zinazotazama baharini huwa zinakuwa reserved tayari..unaweza tolewa kwenye kiti akapewa mzungu au mhindi ukadhani umebaguliwa...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sure sure Mana Kama unataka maji Kama maji Ni jero so buku tatu Ni Mambo menginePale bahari na ile view ni nzuri, nadhani unalipia hicho pia. Ubaguzi hata mimi sikuuona.
Jamaa ni wezi waliovaa suti.ππAisee wakat prawns fungu ni elfu moja (1k) π π π π
Hiyo sio bufee, ni sahani moja ya prawns na limao na chips kidogo. Nadhani wanauza hivyo mpaka sasa, jaribu kupita pale utajionea.40k ebu elezea bufee lilikua na mazagazaga gani?
Kabisa, na ushangaaji wa Mzungu ni tofauti kabisa na ule wa Mswahili.Nenda kanunue toa pesa upewe huduma acha kushangaa shangaa utaonekana mwizi halafu unakuja kulia lia hapa. Kama vipi tongoza hata mzungu uende nae hapo fasta tu.
Slpway hupapendi kwasababu ya ile free , na wahindi wanajaa mno.Karambezi pako busy sana sipapendi hasa wikiendi. Slipway sijawahi kupapenda sijui kwanini. Capetown pako overpriced sana.
Nadhani wahindi wamechangia maana wanapaka sijui vitu gani wanatoa harufu fulani.πSlpway hupapendi kwasababu ya ile free , na wahindi wanajaa mno.
Nenda Rooftop Fish monger pako vizuri sana huduma zao ziko & affordable
Vitu za bei Papparoti bwanaa[emoji23]
Btw mimi navutiwa sana na Rooftop restaurants