Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

Hii naona ni tatizo.. hata mm nmewahi nyanyuliwa Hapo Capetown kumbe ilikua jugger Meister friday kumbe meza ziko reserved .. nikatoka kiroho safi... watu wengi hawaelewi hizi itifaki za migahawa ya msasani[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, tunafanana kabisa mkuu. Huyo lobster namtamani ila bei inaniua, nshapewa offer for my 3birthday bana kufika njiani ni Kaseyma tu hapana tukale tu chips vumbi, siwezi roho ingeniuma mwaka mzima cjui ni umasikini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani wahindi wamechangia maana wanapaka sijui vitu gani wanatoa harufu fulani.[emoji23]

Nitajaribu siku hapo rooftop fishmonger. Papparoti panajaa watoto hivyo napaona panawafaa wao.
[emoji23][emoji23]jamani


Papparoti labda ya mliman ila Masaki kwakweli sidhani labda ma slayqueen
 
Mie nilikunywa maji ya jero kwa 3500 sema nilienjoi kinouma wanaija,wazungu,chooni kusafi kinyama,umekaa bahari upo nayo karibu mno. Mie sikuona huo ubaguzi labda saivi
Hivi wanaija Bongo nao ni ''mali adimu''? Wengine tukienda sehemu tukikuta hawa watu tunaona kama tumekosea sehemu ya kwenda.
 
Sehemu nyingine ni maalum kwa watu maalum. Bongo kuna watu kujikweza hata kwa vitu ambavyo hawakupaswa
 
Meza ikiwa reserved huwa wanaweka kibao au kunakuwa na utaratibu wa mteja kujulishwa.
 
Hii naona ni tatizo.. hata mm nmewahi nyanyuliwa Hapo Capetown kumbe ilikua jugger Meister friday kumbe meza ziko reserved .. nikatoka kiroho safi... watu wengi hawaelewi hizi itifaki za migahawa ya msasani[emoji23]
Hukuelezwa mwanzoni? Kama hawakukupa taarifa kabla basi ni makosa yao.
 
Ngumbaru una akili sana wewe, japo kisheria ubaguzi wowote hautakiwi kuwepo kwenye utoaji huduma.
 
Mwehu mpuuzi sana weye!And,take it unto your accounts,it catches you without your awareness!Yanakukuta tu.Asili inakuongoza unwillingly!
Ila mazee vitu kama hivi vinaonyesha jinsi gani waafrika bado hatujakomaa akili. Ubaguzi ungefanywa na ngozi nyeupe ningesema sawa, ila ngozi nyeusi dhidi ya nyeusi. Kuna kazi sana nchi hiii
 
Kuna sehemu zingine unajua acha nikajitanue
Nilikwenda sehemu na mshikaji wangu tulikula 3 course meal
Tena kwa heshima alikuja Chef mwenyewe na tukampa order yetu bill ilikuwa ni kubwa lakini tulishiba haswaa

Usijali ukiamua kula raha pesa sio kitu wakati mwingine
 
Iliwahi kutokea pia na boyfriend wangu tulienda Tilapia Hotel Mwanza, nikaagiza juice glas ndogo sana 5000 haikuwa na shida. Meza ya jirani walikuja waarabu familia nzima nikashangaa karibia wote wanakunywa vikahawa tuvikombe tudogo tuu dada mmoja ndio alishare sahani ya chips kavu na mwenzie nikawaza chips kidogo hivyo wanashare.

Basi ikaja Menu kuangalia Lasaalale zile chips kavu kidogo ni 8000 bei za nyama na samaki khaaa nikamwambia am sorry najua wewe ndio utalipa ila jua kwamba tutatumia hela nyingi halafu tusishibe tukanywa kuice na kuondoka.
Kuna hotel nyingine hata kama ni kwa ajili ya watu maalaumu angalau waqe reasonable haji hela kubwa ila mlaji ashibe au aridhike atlist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…