DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nyie ndo mnasema wanabakwa ila uhalisia ni kwamba wao wenyewe wakiwashwa na vidubwasha vyao huko mtaani wakakosa wa kuvikuna wanajipeleka beach wakiwa na uhakika lazima tu vikunwe kimasihara
Ndiyo maana na mm nimeanza na kutoa wito kuhusu hao manusura kutoa taarifa Ili tuwe na maelezo rasmi. Huenda labda hawajui kuhusu huduma za kisheria kuhusu ukatili wa kijinsia. Nimewarahisishia na mawasiliano yangu Ili nikipata watano tu, hoja inajijenga vzr kwa data. Sifurahii kabisa taarifa za ukatili wa kijinsia na kwa watoto. Nadhani hata nyie humu mko kama mimi hamfurahii kabisa. Au vipi ndugu zangu?

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kipumbavu haya haya sitaki yasikia, hao mabinti nao wana shida, watu wapumbavu hawawezi kuisha huku duniani, na serikali haiwezi wamaliza, ila watu wanaweza jizuia nao
Mabinti hawana shida, usiwabebeshe lawama.
Mabinti wamekwenda beach kwenye starehe kama wanaume waendavyo, tena wapo na wazazi na kaka, wewe umekaa nje beach boy anamvuta ndani alafu anampleleka ndani na ulipo, ana sex naye mkiangalia lakini hamtajua.
SAD.
 
Baada ya kuvuliwa chupi na kurudi nchi kavu anachukua hatua gani? Kama hachukui hatua za kisheria huyo hajabakwa tunasema alikubali kishingo upande au hata kishingo sawa.

Hata kama Alikubali ni kosa kufanya mapenzi wenye public beach, Hapo woteutashangaa wanashtakiwa na kuhukumia. Watu wasidharau.
 
Mkuu kwa kuanza kabisa..
Ni pale kigamboni siku za weekend
Beach zote za pale kuanzia ulongoni mpaka pweza beach... mida ya jioni
 
Tumia cheo chako kusaidia watu wenye uhitaji sio hao makahaba
 
Mkuu ishawahi kwenda beach..?
 
"""Kushinda JF tu kuwinda thread zako kwa kweli ngumu, maana mambo ni mengi ya kufuatilia. Ngoja tuanze na huu wa Leo. Tukijaliwa. Ubarikiwe."""


Safii sana
Kwahyo mkuu umepata Quotes Iweke signature...

Hahaha ningekuwa mwandishi wa habari ningeandika

"Kushinda Jf tu kuwinda thread zako (Gentamycin) kwa kweli ngumu, maana mambo ni mengi ya kifatilia. Ngoja tuanze na huu wa leo tukijaliwa .Ubarikiwe"
Mh Dkt Dorothy Gwajima ,Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu.

hayo ni maelezo yake leo Tarehe 24/10/2023
akijibu hoja ya Gentamycin kuwa kwanini Hafatilii Mabandiko yake JF
 

sikia kamanda,,,,wewe fanya ki2 kimoja!!!!,,,,wewe mchukue askari wa kike aliyepitia mafunzo makali ya judo,na nayejua kuogelea aende aombe kufundishwa kuogelea,huku wewe na mwenzko mmoja mkiwa mmeficha boti ndogo yenye engine kwenye miti kando ya bahari {manake hao jamaa wanatumia maboya kama unvoona hapo,} alafu wakikaribia kina kirefu mnawafuata kwa kasi,,,,au sio lazima mchukue askari wakike,,nenda navy jitambulishe azima boti wiki end moja mmbane kwenye miti,,,,alaf kukishachangamka,,,mnapiga doria ya ghafla,,,,
 
Wewe unamtafuta huyu jamaa πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Sema hapo Dkt kaongea kitu really kabisa nimefurahiπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€πŸ€πŸ€
 
Ooooh kamanda tena πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Natoka kazini, mahakamani jioni, hili ni jukumu letu sote, hapata trupo na waziri Gwajima na Makatibu wa wizara wanafuatilia, Polisi Oysterbay na Kigamboni wanafuatilia.
Kuwa serios.
 
Hii mbinu hii...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama huyo polisi akizidiwa huko kwa kina kirefu
 
Basi na mimi nitaenda kufanya hiyo kazi ya u beach boy, kumbe wanafaidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…