DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
siyo rahisi kaka, mapenzi ni hisia huwezi kunifanya bila kuniandaa"
Msichana anapima kati ya kuachwa azame kwenye maji ama kuvuliwa chupi, anaona bora chupi ivuliwe.
Baada ya kuvuliwa chupi na kurudi nchi kavu anachukua hatua gani? Kama hachukui hatua za kisheria huyo hajabakwa tunasema alikubali kishingo upande au hata kishingo sawa.
 
Mambo ya kipumbavu haya haya sitaki yasikia, hao mabinti nao wana shida, watu wapumbavu hawawezi kuisha huku duniani, na serikali haiwezi wamaliza, ila watu wanaweza jizuia nao
🤓🤓🤓🤓🤓
Naangalia ID yako alafu ndo nasoma...
Naona kweli umetoa sauti ya kutosha uttoh2002
 
Wacha kwanza Mh GWAJIMA aende na hili la WANAWAKE kubakwa mbele za wazazi wao coco Beach na Kawe na Kigamboni pale mikadi.
Serikali impatie Mh Gwajima fedha za ku-monitor beaches zote.
bunge litunge sheria kali maana sasa hawa watu wamezidi.
Yaani Kodi zetu zitumike kimonitor wadada waloamua kunyanduliwa na mabeach boy huku wazazi wakishuhudia?
 
Kwa mimi serikali ingenisamehe Ningechukua Jukumu la kutwanga Mtu wakanifunge tu 😅😅
Hawa sijui ni binadam toleo gani, yaani kisa anaefanyiwa ukatili huo siyo ndugu au dada yao basi kwao hawaumizwi na chochote wanacheka na kurekodi tu ili wapate contents kwenye mitandao, huu upuuzi siyo wakusubiri serekali ije iondoe watu wanatakiwa waondoe kwa mikono yao wenyewe
 
Nyie ndo mnasema wanabakwa ila uhalisia ni kwamba wao wenyewe wakiwashwa na vidubwasha vyao huko mtaani wakakosa wa kuvikuna wanajipeleka beach wakiwa na uhakika lazima tu vikunwe kimasihara
 
Heee kumbe unatafutwa tena ndugu? Mm siyajui hayo. Ila watanzania wengi tu huwa tunashirikiana kupata ufumbuzi wa changamoto za kijamii makundi maalumu.

Ila kwa kuwa wewe una mazingira maalumu, haya basi ahsante Sana. Ngoja nami nione jinsi gani nitashirikiana na wengine wasio na mazingira maalumu ya maisha Ili kwa pamoja kufanya hatua za kuwasaidia wanawake watumiaji wa maeneo hayo yanayodaiwa ni hatarishi. Hatua ya kwanza ni wao pia watoe ushirikiano na tufanye mjadala nao maana jambo la kijamii Ili lifanikiwe, linahitaji jamii yenyewe ishiriki kwenye wito wa kufikiri ni jinsi gani tupate ufumbuzi.

Kushinda JF tu kuwinda thread zako kwa kweli ngumu, maana mambo ni mengi ya kufuatilia. Ngoja tuanze na huu wa Leo. Tukijaliwa. Ubarikiwe.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hakuna wa Kukusaidia Kuwakomesha hao Beach Boys zaidi yangu GENTAMYCINE kwani nawajua na nazijua Mbinu zao na najua wapi kwa Kuwadaka na Vitendo hivi viwe Historia Beach zote.

Kazi Njema.
 
Kiranga chao
Hapana hapo nawatetea.
Nia yao nzuri ya kuogelea.shida wanakutana na hao washenzi.
Unakuta mtoto wa kike anakaa mbagala.beach anakwenda sikukuu hadi sikukuu kaona maji katamani kuogelea.mbaya zaidi wanakuwa hawajui nia ya Beach boy.
Mimi uwa naendaga sana beach nawaona hao wasichana ni washamba wasiojua chochote.hapa suluhu.mabeach boy wote wasajiliwe na wapewe namba.yaani hauwezi kufanya kazi ya ubeach boy kumfundisha mtu kuogelea mpaka uwe umesajiliwa.hii itakuwa rahisi kuwadhibiti.pindi zikitokea tuhuma kama hizi ni rahisi kumkamata labda muhanga akae kimya.
 
Hakuna wa Kukusaidia Kuwakomesha hao Beach Boys zaidi yangu GENTAMYCINE kwani nawajua na nazijua Mbinu zao na najua wapi kwa Kuwadaka na Vitendo hivi viwe Historia Beach zote.

Kazi Njema.
🤓🤓🤓🤓🤓 toa na profile yako mkuu...
Maana kwa kuwajua huko kuna kitu utakua unatuficha kuhusu wewe 🤓🤓🤓🤝
 
Hapana hapo nawatetea.
Nia yao nzuri ya kuogelea.shida wanakutana na hao washenzi.
Unakuta mtoto wa kike anakaa mbagala.beach anakwenda sikukuu hadi sikukuu kaona maji katamani kuogelea.mbaya zaidi wanakuwa hawajui nia ya Beach boy.
Mimi uwa naendaga sana beach nawaona hao wasichana ni washamba wasiojua chochote.hapa suluhu.mabeach boy wote wasajiliwe na wapewe namba.yaani hauwezi kufanya kazi ya ubeach boy kumfundisha mtu kuogelea mpaka uwe umesajiliwa.hii itakuwa rahisi kuwadhibiti.pindi zikitokea tuhuma kama hizi ni rahisi kumkamata labda muhanga akae kimya.
Mkuu mtoto wa mbagala anaenda beach na hayajui haya mambo..
Its really...?
 
Back
Top Bottom