Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Self service 🐕🦺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wewe 😂😂😂😂🙌🙌🙌Dah!! Binti alikaa mkao mzuri😋😋😋
Kamanua, Manuuu,....... mguu bara mguu pwani.😂
Baada ya kuvuliwa chupi na kurudi nchi kavu anachukua hatua gani? Kama hachukui hatua za kisheria huyo hajabakwa tunasema alikubali kishingo upande au hata kishingo sawa.siyo rahisi kaka, mapenzi ni hisia huwezi kunifanya bila kuniandaa"
Msichana anapima kati ya kuachwa azame kwenye maji ama kuvuliwa chupi, anaona bora chupi ivuliwe.
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D wala asiwe na wasiwasi nitampa Ushirikiano wote ila kwa leo aniache Kidogo nina Mambo ya muhimu Ubongoni mwangu.Haupo serious 🤓🤓🤓🤓🤓
🤓🤓🤓🤓🤓Mambo ya kipumbavu haya haya sitaki yasikia, hao mabinti nao wana shida, watu wapumbavu hawawezi kuisha huku duniani, na serikali haiwezi wamaliza, ila watu wanaweza jizuia nao
Yaani Kodi zetu zitumike kimonitor wadada waloamua kunyanduliwa na mabeach boy huku wazazi wakishuhudia?Wacha kwanza Mh GWAJIMA aende na hili la WANAWAKE kubakwa mbele za wazazi wao coco Beach na Kawe na Kigamboni pale mikadi.
Serikali impatie Mh Gwajima fedha za ku-monitor beaches zote.
bunge litunge sheria kali maana sasa hawa watu wamezidi.
Hawa sijui ni binadam toleo gani, yaani kisa anaefanyiwa ukatili huo siyo ndugu au dada yao basi kwao hawaumizwi na chochote wanacheka na kurekodi tu ili wapate contents kwenye mitandao, huu upuuzi siyo wakusubiri serekali ije iondoe watu wanatakiwa waondoe kwa mikono yao wenyeweKwa mimi serikali ingenisamehe Ningechukua Jukumu la kutwanga Mtu wakanifunge tu 😅😅
🤓🤓🤓🤓🤓🤝🤝🤝🤝🤝Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D wala asiwe na wasiwasi nitampa Ushirikiano wote ila kwa leo aniache Kidogo nina Mambo ya muhimu Ubongoni mwangu.
Sasa hao watoto si wametaka wenyewe kubakwa?Mh Dr Gwajima hakika atatutoa hapa, na kwa hili atakuwa na ujasiri wa kusimama jimbo lolote, iwe Dar au Mkosni na kujivunia alivyo okoa watoto wa kike kwenye ubakaji:
Gwajima tusaidiane kumaliza hii kitu.
Hakuna wa Kukusaidia Kuwakomesha hao Beach Boys zaidi yangu GENTAMYCINE kwani nawajua na nazijua Mbinu zao na najua wapi kwa Kuwadaka na Vitendo hivi viwe Historia Beach zote.Heee kumbe unatafutwa tena ndugu? Mm siyajui hayo. Ila watanzania wengi tu huwa tunashirikiana kupata ufumbuzi wa changamoto za kijamii makundi maalumu.
Ila kwa kuwa wewe una mazingira maalumu, haya basi ahsante Sana. Ngoja nami nione jinsi gani nitashirikiana na wengine wasio na mazingira maalumu ya maisha Ili kwa pamoja kufanya hatua za kuwasaidia wanawake watumiaji wa maeneo hayo yanayodaiwa ni hatarishi. Hatua ya kwanza ni wao pia watoe ushirikiano na tufanye mjadala nao maana jambo la kijamii Ili lifanikiwe, linahitaji jamii yenyewe ishiriki kwenye wito wa kufikiri ni jinsi gani tupate ufumbuzi.
Kushinda JF tu kuwinda thread zako kwa kweli ngumu, maana mambo ni mengi ya kufuatilia. Ngoja tuanze na huu wa Leo. Tukijaliwa. Ubarikiwe.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hapana hapo nawatetea.Kiranga chao
🤓🤓🤓🤓🤓 toa na profile yako mkuu...Hakuna wa Kukusaidia Kuwakomesha hao Beach Boys zaidi yangu GENTAMYCINE kwani nawajua na nazijua Mbinu zao na najua wapi kwa Kuwadaka na Vitendo hivi viwe Historia Beach zote.
Kazi Njema.
Ipo siku atakuja kubakwa dada yako.Nyie ndo mnasema wanabakwa ila uhalisia ni kwamba wao wenyewe wakiwashwa na vidubwasha vyao huko mtaani wakakosa wa kuvikuna wanajipeleka beach wakiwa na uhakika lazima tu vikunwe kimasihara
Mkuu mtoto wa mbagala anaenda beach na hayajui haya mambo..Hapana hapo nawatetea.
Nia yao nzuri ya kuogelea.shida wanakutana na hao washenzi.
Unakuta mtoto wa kike anakaa mbagala.beach anakwenda sikukuu hadi sikukuu kaona maji katamani kuogelea.mbaya zaidi wanakuwa hawajui nia ya Beach boy.
Mimi uwa naendaga sana beach nawaona hao wasichana ni washamba wasiojua chochote.hapa suluhu.mabeach boy wote wasajiliwe na wapewe namba.yaani hauwezi kufanya kazi ya ubeach boy kumfundisha mtu kuogelea mpaka uwe umesajiliwa.hii itakuwa rahisi kuwadhibiti.pindi zikitokea tuhuma kama hizi ni rahisi kumkamata labda muhanga akae kimya.
Uzuri situmii hizo vituMaji yana chumvi sana pale Coco , uke unajisafisha!
Kumbuka unakula smaki wa baharini na kinyesi
Pweza, changu, dagaa mchanga ndio wanakula huo unaoita uchafu alafu unalipa elf 15 kwa ugali samaki.
Atakuwa ni mmoja kati ya hao wabakaji.🤓🤓🤓🤓🤓 toa na profile yako mkuu...
Maana kwa kuwajua huko kuna kitu utakua unatuficha kuhusu wewe 🤓🤓🤓🤝
Dada yangu akifanya upuuzi wake huko hatoruhusu nijue.Ipo siku atakuja kubakwa dada yako.