DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Daaah we jamaaa wewe 😂😂😂😂😂🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
 
Acha kujifanya wewe ni special sana mbona umeng'ang'ania kusema wamekudharau wamekudharau! Kwani wewe nani hadi unafikiri kwamba kila mtu akiingia jf basi lazima atauona uzi wako na lazima aufanyie kazi! Acha kulazimisha umaarufu na kujipa umuhimu ambao wengine hawauoni.
Wewe anzisha mada, changia mada na pale mtu atakapo uona mchango wako na akaona huo mchango wako ni muhimu ataufanyia kazi lakini sio kulazimisha.
 
Wewe ungekuwepo hapo beach ungechukua hatua gani..?
 
Naandaa Kwanza Kichuri cha Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) ambacho Kitashusha Hasira zangu kisha nitakupa Ushirikiano lakini siyo leo kuwa Mvumilivu kwani kwa sasa Akili yangu yote iko Cairo Misri naiwazia Simba SC yangu kama leo itashinda au tutatolewa rrasmi AFL na tukitolewa tu Hasira zangu zitarejea tena hivyo nawe sana iombee Simba SC yangu Ushindi ili nikifurahi basi Kiulaini tu nikupe Ushirikiano wote sawa? au Wewe ni Yanga SC?
 
Namwamini Dkt. Gwajima D Kwa utendaji kazi wake na naamini atakupa ushirikiano bila kutoa siri yoyote...

Namfahamu Tangu akiwa naibu katibu mkuu Afya Tangu tuko naye Group moja Telegram la afya Tulikuwa tukijadiliana na wadau maswala mbalimbali kuhusu Halmashauri na hata Kauli ngumungumu kuhusu Viongozi ila hwezi kukuuza..

Na hata hivyo kama unaogopa kuuzwa unaweza ukatumia eSim zipo namba kibao za kununua Ni disposable unanunua then baada ya siku chache unaidispose lengo na madhumuni ni kujenga Nchi yenye ustawi safi kama wewe kila siku unavyotaka iwe....
 
Umelipwa Tsh ngapi ili Kunitega niingie Nyavuni Mkuu?
 
Hilo poyoyo litakupotezea muda wako bure kila mtu humu analijua ni mr misifa.
 
Haupo serious 🤓🤓🤓🤓🤓
 
Mheshimiwa,
Pitia hii pia ingawa ni ya kitambo kiasi.
Seems hao ma beach boys hawajaanza huo mchezo leo, ni wazoefu..
👇👇
 
Heee kumbe unatafutwa tena ndugu? Mm siyajui hayo. Ila watanzania wengi tu huwa tunashirikiana kupata ufumbuzi wa changamoto za kijamii makundi maalumu.

Ila kwa kuwa wewe una mazingira maalumu, haya basi ahsante Sana. Ngoja nami nione jinsi gani nitashirikiana na wengine wasio na mazingira maalumu ya maisha Ili kwa pamoja kufanya hatua za kuwasaidia wanawake watumiaji wa maeneo hayo yanayodaiwa ni hatarishi. Hatua ya kwanza ni wao pia watoe ushirikiano na tufanye mjadala nao maana jambo la kijamii Ili lifanikiwe, linahitaji jamii yenyewe ishiriki kwenye wito wa kufikiri ni jinsi gani tupate ufumbuzi.

Kushinda JF tu kuwinda thread zako kwa kweli ngumu, maana mambo ni mengi ya kufuatilia. Ngoja tuanze na huu wa Leo. Tukijaliwa. Ubarikiwe.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Siku za wikiend weka vijana wako,koko Beach,Kawe Beach n.k wafanye upelelezi utagundua
 


Mambo ya kipumbavu haya haya sitaki yasikia, hao mabinti nao wana shida, watu wapumbavu hawawezi kuisha huku duniani, na serikali haiwezi wamaliza, ila watu wanaweza jizuia nao
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Genta bhana. Kila la heri, ila hasira za Kanda hiyo nazo zinahitaji mjadala maalumu. Kila la heri

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
"""Kushinda JF tu kuwinda thread zako kwa kweli ngumu, maana mambo ni mengi ya kufuatilia. Ngoja tuanze na huu wa Leo. Tukijaliwa. Ubarikiwe."""


Safii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…