Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Alafu kipindi icho nyie chadema mnakua wap wakati watanzania wenye nchi Yao wakiteseka?
Kateni misaada na mikopo na mtumie ushawishi wenu Benki ya Dunia na IMF wakate mikopo mpaka watapokubali kuruhusu ucchunguzi huru wa matukio haya.
 
Huwezi toka kwa jirani ukaenda kwa jirani bali hutoka nyumbani kwenda kwa jirani

Shaaban Robert

Kwanini msimalizane na yenu huko mkamuacha huyu chapombe aende akatibiwe mguu.
Ya Floyd hawajanalizana nayo wanakurupukia ya Mbowe you Americans clean your house first by cleaning Floyd grave
 
Hawana ubavu wa kututisha hawa wamarekani...
Ni mjinga kama wewe anaweza kusema hivyo lakini hata Magufuli au Hassan Abbas, msemaji wa Serkali hawawezi kusema ujinga kama huo maana wanajua mchango wa America kwa Tanzania.
 
Kweli waafrika ni wapumbavu Sana!! Yanayotokea Marekani hamyawekei uzi ila ya ki Africa mnayawekea mikazo ambayo hao hao wanaoua Waafrika kwao wanawaunga mkono vichwa vinajaa , we have long ways to go!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaanza na boriti iliyo jichoni mwetu kisha ndio tukaone kibanzi kwenye jicho la wenzetu, nani mjinga kati ya waafrika na unayejivesha uzungu mweusi?
 
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
wameshindwa kuwa shocked na George Floyd kwao....yaani wakamuua kabisa, waje kuwa shocked nchi za wenzao?? Huu ni unafiki mkubwa.
Watu wanakabwa na vibaka mtaani kila siku na kuibiwa na kupigwaaa weee... sijasikia wamemtaja kuwa mama Fulani, au bibi Asha kakabwa na mwizi; au kapigwa na kibaka wa opposition. Imefika wakati tuwapuuzie wapuuzi, waache kutugombanisha...! Japo siungi mkono kupigwa kwa Mbowe.
 
Mtu kagonga zake Bia za kutosha...

Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...

Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???

Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
LETA USHAHIDI.
 
ivi barozi wa Tanzania kule marekani hakuandika jinsi tz ilivyo sikitishwa na shambulio la froyd?
Nchi pekee ya kiafrika niliyoona watu wake wakiandamana kupunga maauaji ya George Floyd ni Afrika ya Kusini tu.
Nchi nyingine hazikujua juu ya kifo hicho!.
 
Uvccm Vs bavicha, nk ni shida katika maendeleo ya nchi hii. Kiiiila kitu ni siasa tu, hata swala la Aikaeli ni siasa tu.
 
Joyce Mukya nasikia anaishi hapo Medali alipoteleza Mbowe kwenye ngazi akielekea kumuona. Huyu Mukya ndo huyo demu viti maalum inayesemekana amemzalia Mwamba au huyu ni demu mpya?
Kuna ubaya gani mwanaume kuzaa na mwanamke, au ulitaka azae na wewe,acha wivu we mtoto wa kike.
 
Kateni misaada na mikopo na mtumie ushawishi wenu Benki ya Dunia na IMF wakate mikopo mpaka watapokubali kuruhusu ucchunguzi huru wa matukio haya.
Kwani hiyo misaada ni kwa ajiri ya viongozi wa serikali au kwa manufaa yetu sote mimi na wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…