mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Waulize Floyd alishambuliwa vip?
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622