zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Punguza ujuaji hata Habib Anga aliwahi kuleta thread juu ya mpango wa kuvamia Mlimani City ila ukawa botched na TISS dakika za mwisho baada ya kutonywa na majasusi wa nje!!Hamza ni nani na alifanya nini na sababu ya kufanya aliyoyafanya ilikuwa ni nini?!
Kumbe umekurupuka tu kuongea kwa mihemko... jibu hapo juu kuhusu Hamza na kwanini umemu-include hapa?!
Wao wanatoa taarifa yenye uhakika kutokana na teknoloji.Hao wamarekani,hebu nanda kwao,halafu toa hiyo taarifa ya tishio la ugaidi!, utakiona cha mtema kuni kwa kuleta taharuki,
Top ten ya seepersHalafu kuna mtu ana kwambia TISS imeingia kwenye top ten duniani!.
Ya kwetu imelala usingizi wa pono!?Taasisi yao ya ujasusi ipo macho masaa 24/7..
CIA never compared with TISS bro.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Marekani hawaishi kizembe kwa sababu wana maadui wengi. Kitengo chao cha ujasusi cha CIA kiko macho masaa 24. Wamepenyeza ma-informer kila mahali, hata kwenye hayo makundi ya kigaidi kuna watu wake wanaotoa habari.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Wewe unayejua hebu tufafanulie basiKuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ...
Intelligence Yao ni Kwa mataifa mengine Tu. Kwao kila siku watu wanauana hiyo intelligence ipo wapiKuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ.
Chukua bajet ya ulinzi ya UK, France, Russia, Italy, German n.k ukijumlisha kwa pamoja, hawafiki nusu ya bajeti ya ulinzi ya US.
Siyo anga zangu hizo mkuu!Hata polisi huwa hufiki
Unaweza kufahamu kunajaribio hilo halafu ukachelewa kufahamu itakuwa wapi na lini.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Wangejua hadi Angel Merkel alikua anasikilizwa kila alichokuwa anaongea, wasingejiuliza swaliCrap.
Wenzio wana teknolojia ya kunasa mawasiliano yawe ya simu, internet, whatsap, etc.
Tushawazoe hao.MashogaUbalozi wa Marekani Nchi Tanzania umeonya juu ya kuwepo viashiria vya Shambulio la Kigaidi katika maeneo mbalimbali yanayotembelewa zaidi na Raia wa Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani...
Wana iphone na android, pegasus ya nsoLabda top ten ya chama,CIA wanazo hadi top secret weapon and devices nenda uliza TISS wana nini?
Tayari walishapewa briefings, kilichofanyika ni kwa ajili ya wamarekaniTusubiri tamko la Kamanda Muliro.
Kama unaona dalili zisizoeleweka katoa taarifaNilipo ni karibu na msikiti nikisikia ugaidi basi napataga mawazo sana na hawa maostadh hapa jirani