Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Hao magaidi wakitaka kufanya kazi kwa ufanisi waende pale feri kwenye panton, mama wee maelfu kwa mkupuo
Aiseee una roho mbaya sana, ila soon ferry inawekwa scanners
 
Tumia akili
 
Aiseee una roho mbaya sana, ila soon ferry inawekwa scanners
Sio roho mbaya, nawakumbusha tu pale km kuna mtu anataka kuhujumu basi atahujimu kirahisi na atafanikiwa sana
 
Ndo kazi ya Intelligence Agency....

Hao magaidi hata Tanzania wapo ila wanapumzishwa mapema kabla
 
Hadi uone wametoa taarifa lazima washakutana na TISS, DCI, MI
 
Nazikumbuka zilikuwa bandika bandua, alivyokufa wakapumua na kuanza kusifia.
Uzuri wa Magufuli alikuwa anasema ukweli wa kila kitu, yule jamaa alijua kutujenga kweli kweli.

Ndugu zangu hakuna anaewapenda huko nje, alisema sana hili neno yule mzee.
Anyway dunia ina maajab yake maana kuna watu hawataki kuelewa.
 
Itachukua miaka mingi kufuta hiyo kitu vichwani mwa watu wengi, tena hasa wale wavaa suruali fupi ndo hao niko jirani nao
Kuna wengine wamenikuta nimekaa sehemu, wakanifata na kulazimisha ongea nami kuwa wametumwa na Allah waje wanipe habari, Bungu, Wilaya ya Kibiti.
Niliwaangalia weee, eti twende msikitini, nikawachora sana, nikaanza counter ya biblia hadi wakasema ngoja tutafute wengine.

Bungu bado hali sio sawa maana watoto wanapotea wakirudishwa wanakuwa ndo wapeleka chakula
 
Wewe ni msomi bana. Tofautisha motive ya mauji ya kigaidi na yale yatokeayo kwao
 
Pale Mlimani City panatakiwa paongezwe ulinzi zaidi, yale magari yanayoingia pale kama kuna magaidi ndani ya dakika chache wanapateka, ila uzuri wa pale exits nyingi sana
Acha vitisho uchwara. Gaidi wa konyo!

Hakuna cha gaidi wala nini. FANYA KAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…