BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Mbona makanisa hayajatajwa kwenye target, au ni magaidi wa kikristo wanaotaka kushambulia Hadi misikiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee una roho mbaya sana, ila soon ferry inawekwa scannersHao magaidi wakitaka kufanya kazi kwa ufanisi waende pale feri kwenye panton, mama wee maelfu kwa mkupuo
Hahaha cha ajabu hata OS yao hawana so exchange info zote zipo uchi kwa adui.Wana iphone na android, pegasus ya nso
Itakuwa tageti ni mashoga tu.Mbona makanisa hayajatajwa kwenye target, au ni magaidi wa kikristo wanaotaka kushambulia Hadi misikiti
Tumia akiliWaongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea Dar
Sio roho mbaya, nawakumbusha tu pale km kuna mtu anataka kuhujumu basi atahujimu kirahisi na atafanikiwa sanaAiseee una roho mbaya sana, ila soon ferry inawekwa scanners
Ndo kazi ya Intelligence Agency....Wana informants huko huko Al Shabaab..... Kenya nakumbuka walikua na snipers wawili huko Al Shabaab Sasa yule informant wa CIA ndani ya Al Shabaab akawachoma. Jamaa mmoja alichinjwa Mombasa mwenzie akatwangwa risasi akiwa kwenye gari.
So tokea tukio lile litokee ndio watu wakafahamu Al Shabaab Ina mapandikizi kutoka mataifa mengi Ili kulinda maslahi Ya nchi zao. So ukiona Tanzania haijalipuliwa trust me Kuna informant kule ana divert hizo mission!!
Mfano Kituo cha Kawe kiko wazi sanaHadi vituo vya Polisi ni walengwa! Alafu kama walishaanza kulegeza ulinzi wa vituo tofauti na mwanzo.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hadi uone wametoa taarifa lazima washakutana na TISS, DCI, MIKwanini wasishirikiane na vyo7mbo vyetu vya usalama ili kudhibiti kuliko kuwatia wananchi hofu waishi bila furaha? Kauli zao tumesha zizoea, mfano Balozi wetu nchini Marekani atoe Taarifa kwa Watanzania na Raisa wa East Afrika wasitemblee Marekani kuna matishio ya watu kuuliwa kwa kupigwa Risasi unafkiri huyo Barozi wetu si angepewa Masaa 24 aondoke Marekani, Mabalozi kama awa ndiyo maana Magufuli alikuwa ana warudisha makwao uko.
America is the most dangerous gang in the worldYaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Nazikumbuka zilikuwa bandika bandua, alivyokufa wakapumua na kuanza kusifia.Waongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea Dar
Kuna wengine wamenikuta nimekaa sehemu, wakanifata na kulazimisha ongea nami kuwa wametumwa na Allah waje wanipe habari, Bungu, Wilaya ya Kibiti.Itachukua miaka mingi kufuta hiyo kitu vichwani mwa watu wengi, tena hasa wale wavaa suruali fupi ndo hao niko jirani nao
Yale si mauaji ya kigaidiIntelligence Yao ni Kwa mataifa mengine Tu. Kwao kila siku watu wanauana hiyo intelligence ipo wapi
Wewe ni msomi bana. Tofautisha motive ya mauji ya kigaidi na yale yatokeayo kwaoUSA ni wapumbavu tu,kwao matukio ya mauuaji yanatokea kila kukicha na juzi tu watu 17 wamekufa-mbona halijaitwa tukio LA kigaidi au kwa sababu ni matukio yanaganywa na wazungu wenzao.
Hayo hayo matukio yakifanywa na waafrika au waarabu ama nje ya USA yanakuwa matukio ya kigaidi.
Waache propaganda za kitoto
Tatizo hutumii akili kufikiria.By the way,hao ubalozi ni waongo na wanafiki yani TISS wenye Ofisi kila Mkoa na kila Wilaya Tanzania wasifahamu waje wafahamu watu wenye security guards wasio zidi 10 pale ubalozini.
Ulisema CHADEMA imekataliwa, hiyo mikusanyiko imetoka wap had izuiwe tena?Tuzuie mikusanyiko kwa muda
Hahaha cha ajabu hata OS yao hawana so exchange info zote zipo uchi kwa adui.
Hakuna cha mashushushu.Lazima watakua na mashushu wao ndani ya ivyo vikundi vya kigaidi
Acha vitisho uchwara. Gaidi wa konyo!Pale Mlimani City panatakiwa paongezwe ulinzi zaidi, yale magari yanayoingia pale kama kuna magaidi ndani ya dakika chache wanapateka, ila uzuri wa pale exits nyingi sana