Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Waongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea Dar
Tumia akili
 
Aiseee una roho mbaya sana, ila soon ferry inawekwa scanners
Sio roho mbaya, nawakumbusha tu pale km kuna mtu anataka kuhujumu basi atahujimu kirahisi na atafanikiwa sana
 
Wana informants huko huko Al Shabaab..... Kenya nakumbuka walikua na snipers wawili huko Al Shabaab Sasa yule informant wa CIA ndani ya Al Shabaab akawachoma. Jamaa mmoja alichinjwa Mombasa mwenzie akatwangwa risasi akiwa kwenye gari.

So tokea tukio lile litokee ndio watu wakafahamu Al Shabaab Ina mapandikizi kutoka mataifa mengi Ili kulinda maslahi Ya nchi zao. So ukiona Tanzania haijalipuliwa trust me Kuna informant kule ana divert hizo mission!!
Ndo kazi ya Intelligence Agency....

Hao magaidi hata Tanzania wapo ila wanapumzishwa mapema kabla
 
Kwanini wasishirikiane na vyo7mbo vyetu vya usalama ili kudhibiti kuliko kuwatia wananchi hofu waishi bila furaha? Kauli zao tumesha zizoea, mfano Balozi wetu nchini Marekani atoe Taarifa kwa Watanzania na Raisa wa East Afrika wasitemblee Marekani kuna matishio ya watu kuuliwa kwa kupigwa Risasi unafkiri huyo Barozi wetu si angepewa Masaa 24 aondoke Marekani, Mabalozi kama awa ndiyo maana Magufuli alikuwa ana warudisha makwao uko.
Hadi uone wametoa taarifa lazima washakutana na TISS, DCI, MI
 
Waongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea Dar
Nazikumbuka zilikuwa bandika bandua, alivyokufa wakapumua na kuanza kusifia.
Uzuri wa Magufuli alikuwa anasema ukweli wa kila kitu, yule jamaa alijua kutujenga kweli kweli.

Ndugu zangu hakuna anaewapenda huko nje, alisema sana hili neno yule mzee.
Anyway dunia ina maajab yake maana kuna watu hawataki kuelewa.
 
Itachukua miaka mingi kufuta hiyo kitu vichwani mwa watu wengi, tena hasa wale wavaa suruali fupi ndo hao niko jirani nao
Kuna wengine wamenikuta nimekaa sehemu, wakanifata na kulazimisha ongea nami kuwa wametumwa na Allah waje wanipe habari, Bungu, Wilaya ya Kibiti.
Niliwaangalia weee, eti twende msikitini, nikawachora sana, nikaanza counter ya biblia hadi wakasema ngoja tutafute wengine.

Bungu bado hali sio sawa maana watoto wanapotea wakirudishwa wanakuwa ndo wapeleka chakula
 
USA ni wapumbavu tu,kwao matukio ya mauuaji yanatokea kila kukicha na juzi tu watu 17 wamekufa-mbona halijaitwa tukio LA kigaidi au kwa sababu ni matukio yanaganywa na wazungu wenzao.
Hayo hayo matukio yakifanywa na waafrika au waarabu ama nje ya USA yanakuwa matukio ya kigaidi.

Waache propaganda za kitoto
Wewe ni msomi bana. Tofautisha motive ya mauji ya kigaidi na yale yatokeayo kwao
 
Pale Mlimani City panatakiwa paongezwe ulinzi zaidi, yale magari yanayoingia pale kama kuna magaidi ndani ya dakika chache wanapateka, ila uzuri wa pale exits nyingi sana
Acha vitisho uchwara. Gaidi wa konyo!

Hakuna cha gaidi wala nini. FANYA KAZI.
 
Back
Top Bottom