myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Unaishi dunia ya peke yako ?Maskini mimi at least sehemu tajwa huwa siingiagi!
Wakigusia Mwendokasi wamenimaliza maana ndiyo anga zangu huko,watusaidie tu ktk hili maana polisi wetu zaidi ya ku-deal na wakosoaji wa serikali hawana lingine.
Kama wanaweza basi waprevent nenda google kasome controversy ya September 11 ujue strategy za hawa Amerika. 🐷Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya Tanzania...
Tiss ina nini cha maana?Alafu kuna mtu ana kwambia TISS imeingia kwenye top ten duniani!.
Tiss ina nini cha maana?
We unaona zuri!Kwani ni libaya[emoji41]
Usisahau Mlimani City.Si la kupuuzia hili, hao wamarekani wakitoaga onyo ni jambo la kuchukulia serious.
Kampala walitoa onyo zikalipuliwa sehemu mbili mwaka jana.
Nahisi ngoma hii itakuwa mlimani, masaki, oysterbay au posta.
Wametoa tahadhari kwa raia wao waliopo hapa nchini, kuprevent ni jukumu la vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.Kma. Wnaweza bas waprevent nenda google kasome controversy ya September 11 ujue strategy za hawa amerika ......... 🐷
Crap.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Kwa hyo wao wametuzidi ukachero sio.Tuzuie mikusanyiko kwa muda
Mkuu hii ni taarifa ya wazi kwa kila mtu hasa raia wao, serikali hupewa taarifa ya kina.Hivi kama hawa jamaa huwa wanajua kuna dalili ya ugaidi, kwanini huwa hawatuambii hivyo vitisho vitatokea wapi ili vikamalizwe huko huko, kuliko wanavyofanya kutoa tahadhari pekee na kutuacha njia panda?
Tafuta Chama cha Siasa, al or ub tahir umo humu umeibuka ghafla bin vuuEmbu tufukulie huo uzi mkuu
Ngoja litokee tuoneUnareport ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.View attachment 2495673