Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Hivi kutafsiri lugha ya kiingereza ni shida kumbe. Kama wanajua wanasubiri kuwakamata hao magaidi?

Hapo wanatoa tu tahadhari ya jumla, na inaweza kuapply kwa nchi yeyote, hiyo tarehi ni tarehe ya kutoa tangazo
 
Hii situation ukidiscuss na wadada lazima ucheke uwiiiiii jamanii sisiisiis nyiingi anyway ngoja tuone
 
Usalama wa taifa letu ni jukumu letu sote, tuonapo viashiria visivyo vya kawaida tutoe taarifa haraka.
Hao walipuaji kwa vyovyote Tupo nao mitaani aidha wamehifadhiwa kwenye majumba yetu, jirani mwema mara uonapo harakati zisizo za kawaida toa taarifa.
 

Makanisa je?
 

Kaka we muuliza 100 mara 0 ngapi!
Hawajui, anajua akiamka na maharage na maandazi basi
 
Tangazo linatoa tahadhari sehemu ambapo Kuna mkusanyiko wa watu wa mataifa (wazungu) kuwa wanaweza kuvamiwa na magaidi. Iyo yako sijui umetoa wap mkuu
Wazungu siyo watu? Na watashambuliwa wakiwa kwao New york?

Kipindi cha Magu wakati wanatoa tahadhari kama hii, mlipuuzia pia. Gaidi Hamza akafanya yake.
 
Uko sahihi kabisa. Vyombo vya ulinzi visichukulie simple. Maana hawachelewi kusema watashambuliwa wazungu tu, Watanzania wengine haiwahusu [emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…