Mahaba Niue haya, elewa swali!Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ.
Chukua bajet ya ulinzi ya UK, France, Russia, Italy, German n.k ukijumlisha kwa pamoja, hawafiki nusu ya bajeti ya ulinzi ya US.
mmeanza kazi!!Si la kupuuzia hili, hao wamarekani wakitoaga onyo ni jambo la kuchukulia serious.
Kampala walitoa onyo zikalipuliwa sehemu mbili mwaka jana.
Nahisi ngoma hii itakuwa mlimani city, masaki, oysterbay au posta.
Vitisho uchwara. Hakuna cha intelijensia wala nini, michezo ya kilaghai hii.Askari wetu wajiandae na huu mtihani...huwa ni mgumu na sometimes unatisha. Tuombe yasitokee
Serikali iombe usaidizi kwa US na Kenya maana wote wana uzoefu na mambo haya.
Ndugu neno security ni pana, unaweza kusoma wewe mpaka wajukuu zako na bado msimalize.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Jukumu la ulinzi na usalama wa nchi ni la kila raia. #Kuanzia mleta taarifa, mimi, wewe na yule tuilinde kizalendo nchi yetu pendwa ya mababu na mabibi dhidi ya uadui wa ndani au nje.🙏🙏🙏Ubalozi wa Marekani Nchi Tanzania umeonya juu ya kuwepo viashiria vya Shambulio la Kigaidi katika maeneo mbalimbali yanayotembelewa zaidi na Raia wa Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani
Maeneo yaliyotajwa kuwa kwenye mipango ya kushambuliwa na Vikundi vya Ugaidi ni pamoja na Hoteli, Balozi mbalimbali, Maduka makubwa na Masoko, Vituo vya Polisi na Misikiti.
View attachment 2495591
California watu Kazaaa wametwangwa risasi mbona hawakuzuia?Bas wai prevent mbona juz hapa wamekufa watu 17 kwao na hawasemi ni ugaidi ...... this is bullshit bro
Waongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea DarMaskini mimi at least sehemu tajwa huwa siingiagi!
Wakigusia Mwendokasi wamenimaliza maana ndiyo anga zangu huko.
Wana informants huko huko Al Shabaab..... Kenya nakumbuka walikua na snipers wawili huko Al Shabaab Sasa yule informant wa CIA ndani ya Al Shabaab akawachoma. Jamaa mmoja alichinjwa Mombasa mwenzie akatwangwa risasi akiwa kwenye gari.Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Mbona issue ya Garissa walionya na ikatick..... Tusipende ujuaji! wao Wana intelijensia kuliko nchi zetu maskini hizi sio sisi ikitokea mikutano ya Chadema ndio eti taarifa za intelijensia zinafanya kazi!!Waongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea Dar
Mbona nasikia raia wanauwana hovyo kwa sababu ya urahisi wa kumiliki silaha na serikali haifanyi kitu?Ukuaji wa sayansi na teknolojia unatumiwa kiusalama vyema na wenzetu.
Kwa wenzetu uhai na usalama wa raia wao ndio kipaumbele cha kwanza, iwe ndani ya nchi zao au nnje ya nchi zao.
Umesema kweli. Na mikutano ya hadhara izuiwe. Ugaidi sio mzuri, watu wasio na hapoteza maishaNakumbuka alert kama hizi kule Kenya, halafu wakashambulia supermarket ile maarufu, na chuo kikuu kimoja.
Serikali ianze kukagua maduka na ofisi zote zilizopo kwenye supermarkets kubwa. Kule Kenya walipanga kwenye supermarket, kumbe wakawa wanahifadhi humo silaha.
Serikali iombe usaidizi kwa US na Kenya maana wote wana uzoefu na mambo haya.