Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata polisi huwa hufikiMaskini mimi at least sehemu tajwa huwa siingiagi!
Wakigusia Mwendokasi wamenimaliza maana ndiyo anga zangu huko.
Hamna uhusiano na mikutano ya CHADEMAKuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya Tanzania...
MkuuHalafu kuna mtu ana kwambia TISS imeingia kwenye top ten duniani!.
Itachukua miaka mingi kufuta hiyo kitu vichwani mwa watu wengi, tena hasa wale wavaa suruali fupi ndo hao niko jirani naoNi vyema sana umemjibu huyi bwana kwa utu na uungwana... kuliko wenye kumshushua na kumbeza!
Mwenyezi mungu akubariki sana!
Hahaha! Gaidi sio maana yake hiyo iliyojengwa mawazoni mwako...
Gaidi ina maana yake. Soma na pekua usome kinagaubaga wa neno "terrorist" & "terrorism"
Linakuzwa kwa sababu ya chuki za kidini lakini si hao unaowaona wanajifanyia zao ibada ndo magaidi...hapana 😊
Soma! Chimbua maarifa... utapata mengi. 👍🏾
Ni mpango mkakati wa uvccm wenye mrengo wa Sukuma GangMungu tuepushe.. Isije ikawa kuna loose ends zimeachwa ili mikutano ipigwe marufuku
Waongo mkuu kipindi cha Magufuli walizui raia wao kuja Tanzania kwasababu kuna vitisho vya ugaidi, wakasema tena Tanzania kuna ugonjwa wa Ebola, kwaiyo awa ndugu zetu Tahadhari zao ni za kitapeli, kipindi cha Magufuli walitoa tahadhali nyingi sana na hakuna tukio lolote lilotokea Dar
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu kuna mtu ana kwambia TISS imeingia kwenye top ten duniani!.
Phone tapping,Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Hivyo mkuu hutaki..?Halafu kuna mtu ana kwambia TISS imeingia kwenye top ten duniani!.
Utaingiaje TOP wakati huna means? Wao wanategemea sana zana za kununua, wenzao wanatengenezaHalafu kuna mtu ana kwambia TISS imeingia kwenye top ten duniani!.
Pale Mlimani City panatakiwa paongezwe ulinzi zaidi, yale magari yanayoingia pale kama kuna magaidi ndani ya dakika chache wanapateka, ila uzuri wa pale exits nyingi sanaNakumbuka alert kama hizi kule Kenya, halafu wakashambulia supermarket ile maarufu, na chuo kikuu kimoja.
Serikali ianze kukagua maduka na ofisi zote zilizopo kwenye supermarkets kubwa. Kule Kenya walipanga kwenye supermarket, kumbe wakawa wanahifadhi humo silaha.
Serikali iombe usaidizi kwa US na Kenya maana wote wana uzoefu na mambo haya.
Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Sema ukijifanya unajua wenzako/maadui nao wanabuni mbinu tofautu kabisa ambazo hukutarajia. Unakumbuka September 11. Mungu atuepushe.Labda top ten ya chama,CIA wanazo hadi top secret weapon and devices nenda uliza TISS wana nini?
Lakini Osama aliwatandika na kushusha magorofa yao hii inteligence yao ilikuwa wapi?Hiyo ni USA! Intelligence kwao ni muhimu kuliko unavyoweza kufikiria