Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ni kwa sababu hapakuwapo na jamii forums na utandawazi kama sasa mwanangu. Hata hivyo, walikuwa wakituita maskini yaani a society of eat nothing people ndipo Nyerere akawaambia the country of man eat man. Kumbuka kama umri wako unakuruhusu mwanangu. Huu upuuzi ulianza hata kabla ya uhuru ila hapakuwapo na media ya kuusambaza kama sasa.Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Wakenya ni wapumbavu sanaNi kwa sababu hapakuwapo na jamii forums na utandawazi kama sasa mwanangu. Hata hivyo, walikuwa wakituita maskini yaani a society of eat nothing people ndipo Nyerere akawaambia the country of man eat man. Kumbuka kama umri wako unakuruhusu mwanangu. Huu upuuzi ulianza hata kabla ya uhuru ila hapakuwapo na media ya kuusambaza kama sasa.
Anyway,kudhallisha ni kufanyaje?Udaku utabaki kuwa udaku na ni sehemu ya news industry kwani so kila habari inaweza thibitushwa.Ze utamu tuiache huko nyumaUnaona sasa. Kumbe bado dogo. Ze Utamu ilikuwa ni website ya kudhalilisha viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania. Fungua JF link hapo chini usome.
Ze Utamu JF>>> Search results for query: ze utamu
Mtandao unaodhalilisha viongozi wetu TCRA waufungie...Anyway,kudhallisha ni kufanyaje?Udaku utabaki kuwa udaku na ni sehemu ya news industry kwani so kila habari inaweza thibitushwa.
Sio la kawaida kwa maana JPM hajawahi kuwa na tabia chafu...Hili ni jambo la kawaida sana,
Udaku wenye lengo la kuchafua taswira ya viongozi si sahihi. Sasa hapa kazi ni ya TCRA kuifungia hiyo domain...Anyway,kudhallisha ni kufanyaje?Udaku utabaki kuwa udaku na ni sehemu ya news industry kwani so kila habari inaweza thibitushwa.
Mkuu,udhalilishaji ni nn?Mdhalilishaji ni nani?Nafikiri ni hekima zaidi iwapo tutaacha udaku ubaki kuwa udaku kwa ajili ya wadaku.Mtandao unaodhalilisha viongozi wetu TCRA waufungie...
Mkuu,Kisa tu habari ya udaku ambayo ni mtu kaonesha sanaa ya kutunga simulizi?Tutaua vipaji.Tuache udaku ubaki kuwa udaku.Tutafute tu namna ya kuwezesha watu kujua kuwa ni udaku.Udaku wenye lengo la kuchafua taswira ya viongozi si sahihi. Sasa hapa kazi ni ya TCRA kuifungia hiyo domain...
Mkuu, mbona @Kigogo2014 anasambaza udaku na Polisi wanamtafuta? Kama udaku ni suala la kawaida basi Polisi waache kumtafuta kigogo.Mkuu,udhalilishaji ni nn?Mdhalilishaji ni nani?Nafikiri ni hekima zaidi iwapo tutaacha udaku ubaki kuwa udaku kwa ajili ya wadaku.
Mkuu, suala sio udaku tu, issue ni kuwa "it goes viral over the internet". Udaku ukiongelewa vijiweni kama zama zile za Utawala wa Mzee Mkapa mwaka 1996 sio mbaya kwa maana likisambaa sana litaishia upana wa kata ama tarafa tu baaas, ila katika zama hizi za internet ambapo dunia ni kama kijiji, ni lazima tuwe makini sana na mitandao ya wapuuzi kama hii.Mkuu,Kisa tu habari ya udaku ambayo ni mtu kaonesha sanaa ya kutunga simulizi?
Mzee John P Magufuli hajawahi kabisa kuchepuka. Alikuwa anajiheshimu sana yule baba.DNA si ipo, kama mzee alikula mzigo na akatunga mimba wala si dhambi - dhambi itakuwa kwa wana familia kama wakiigomea damu yao.
Na alisisitiza "fyatueni watoto nitawasomesha bure"Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Mzee John P Magufuli hajawahi kabisa kuchepuka.Na alisisitiza "fyatueni watoto nitawasomesha bure"
All in all imekuwa ikisemwa sana humu kuwa "na yeye alikuwa binadamu hangeweza kukosa mapungufu," mapungufu yenyewe si kama haya? tunayasikiliza, tunasamehe, yanakwisha maisha yanaendelea
Magufuli kafa na roho yake nzuri na ya upendoMzee John P Magufuli hajawahi kabisa kuchepuka.
Kigogo anavujisha classified information.Kusema kuwa Kiongozi fulani ana uhusiano na binti fulani ni masuala ya kimbea na udaku ambayo kimsingi yule ambaye anaona ana haki ya kudai fidia anadai fidia ili sio nkufungia media kwa sababu ya udaku.Habari za udaku zina nafasi yake katika jamii ilio staarabikaMkuu, mbona @Kigogo2014 anasambaza udaku na Polisi wanamtafuta? Kama udaku ni suala la kawaida basi Polisi waache kumtafuta kigogo.
yule bonge ni wa Janeth pia.... bac sawa!!Mzee John P Magufuli hajawahi kabisa kuchepuka. Alikuwa anajiheshimu sana yule baba.
Kuuwa watu sio tabia mbaya au kuamuru mtu auwawe sio tabia mbaya, kupakazia watu vyesi sio tabia mbaya au kudhulumu watu mali zao sio tabia mbaya.Sio la kawaida kwa maana JPM hajawahi kuwa na tabia chafu...