Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #321
Yatangazwe yakiwa yameambatana na ushahidi wa kutosha. Kulitangaza jambo bila ushahidi huo ni udhalilishaji tu mkuu.Any way Ukiwa kiongozi basi tegemea kumulikwa kila kona.
Ni vyema ukajiepusha na mambo ambayo hutataka yawekwe hadharani kwa kuogopa kudhalilika.
Kama utaona ni mambo ya kawaida basi hata kuyatangaza ni kawaida.
Marehemu/Hayati alikuwa ni baba aliyejiheshimu na kuipenda sana familia yake.Nahisi wewe mleta mada ulikua humjui vizuri marehemu.
Hii ndio chakula gani?Na ile chakula yetu ya kisarawe yenyewe itadai nn🤣🤣
Ni nani aliuliwa na kutekwa?Matunda yenyewe ni haya haya ya uuwaji na utekaji?
Rais Magufuli alikuwa anaheshimu sana ndoa yake na kamwe asingeweza kulala na mwanamke mwingine.Kwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!
Magufuli angekuwa hai bila shaka mimi na yeye tungekurushia mawe mengi sana. Tena lorry zima.Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?
Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia jiwe.
Mzee Mahiga alikuwa ni jembe kweli kweli baba yule.Dah.
Mkuu avatar yako imenikumbusha tumefika mwaka mmoja tangu nguli Dr. Augustine P. Mahiga atutoke.
R.IP.
Kenya kuna watu wabaya sana wasioipenda Tanzania.I get it, na nafkiri unafahamu sheria zetu zilivyo tight kuhusu media kujiachia mambo mengine, ndio maana recently unaona kuna media stations and some personalities too, wanakula ban ama suspension kwa makosa kadha wa kadha. So hatujalala kwa hayo, serikali iko na macho na maskio kila kona ya nchi.
You are now playing psychological game with us.Na unapaswa kujua kwamba, huu udhalilishaji ama Cyberbullying upo duniani kote, ni kitu kinasumbua serikali, ata jamii nyingi tu. Kuna watu "keyboard warriors" wanaofanya yao mafichoni, kuathiri wengine, na ni vigumu kuwapata sababu labda ni wabobezi wa maswala ya IT sana na pia huwa kawaida sio wananchi, wengine wanafanya yao nje ya nchi, ila mkimtafuta mnaona yuko ndani. Technology imekuwa complicated sana hadi inawakoroga serikali zenyewe.
Mtizamo wako huo kutokana na pita pita zako humu JF, in real, vitu ziko tofauti kwa ground. Watu wengi hawana time ya chuki, ni kazi wanafanya na maslahi ya familia zao kuyakimu, sio kuichukia nchi jirani wakati haimsaidi na lolote lile kimaisha. So, ukizushiana na Wakenya humu, alafu ukafikiri Kenyans tunachukia nchi yenyu, basi unakibarua sana. Maisha lazma yaendelee, hapa tunapita tu!Kenya kuna watu wabaya sana wasioipenda Tanzania.
Eti Kenya kuna freedom of speech? My foot.Kwa nini tuache, kama tukiwawahi sawa, tunafunga kila kitu, lakini kama ni mfano wa wale jamaa wa Russia, my friend hata serikali za ughaibuni wanatokwa kijasho pale, sembuse serikali zetu za third world?
Kenya ni wanyang'anyi tu hawana maana hata kidogo.Eti Kenya kuna freedom of speech? My foot.
Mtoto wa kiume wa mzee Mahiga ni muhuni tu anaitwa AndrewMzee Mahiga alikuwa ni jembe kweli kweli baba yule.
Hoja yako ni ipi?Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Hana hoja yoyote ya maana huyo. Lengo lake ni kuunga mkono udhalilishaji huu wa Rais wetu kwenye internet. Hiyo ni cyberbullying.Hoja yako ni ipi?
Utaendelea kushangaa zaidi na zaidi sana mkuuUmenishangaza tu ulivyoandika kuwa, "Magufuli alikuwa mtiifu kwa mke wake, watoto wake, familia yake na Jamhuri ya Muungano"
Kinena sina ila ninauhakika na ninachokisemaUmenishangaza tu ulivyoandika kuwa, "Magufuli alikuwa mtiifu kwa mke wake, watoto wake, familia yake na Jamhuri ya Muungano"
Hivi huo utiifu kwa mke wake umeupimaje? Na umechukua takwimu za toka lini?
Una hakika na unachokinena?
Kama ni kweli tunahitaji kuwa na umoja wa Afrika ya Mashariki ambao ni imara na wenye tija kwa pande zote, ni lazima Kenya ituhakikishie kuwa itapambana na wahalifu watakaokuwa wanafanya cyberbullying dhidi ya viongozi waandamizi wa Tanzania.Warudishe tausi wetu tu.