Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Any way Ukiwa kiongozi basi tegemea kumulikwa kila kona.
Ni vyema ukajiepusha na mambo ambayo hutataka yawekwe hadharani kwa kuogopa kudhalilika.
Kama utaona ni mambo ya kawaida basi hata kuyatangaza ni kawaida.
Yatangazwe yakiwa yameambatana na ushahidi wa kutosha. Kulitangaza jambo bila ushahidi huo ni udhalilishaji tu mkuu.
 
Kwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!
Rais Magufuli alikuwa anaheshimu sana ndoa yake na kamwe asingeweza kulala na mwanamke mwingine.
 
Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?

Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia jiwe.
Magufuli angekuwa hai bila shaka mimi na yeye tungekurushia mawe mengi sana. Tena lorry zima.
 
I get it, na nafkiri unafahamu sheria zetu zilivyo tight kuhusu media kujiachia mambo mengine, ndio maana recently unaona kuna media stations and some personalities too, wanakula ban ama suspension kwa makosa kadha wa kadha. So hatujalala kwa hayo, serikali iko na macho na maskio kila kona ya nchi.
Kenya kuna watu wabaya sana wasioipenda Tanzania.
 
Na unapaswa kujua kwamba, huu udhalilishaji ama Cyberbullying upo duniani kote, ni kitu kinasumbua serikali, ata jamii nyingi tu. Kuna watu "keyboard warriors" wanaofanya yao mafichoni, kuathiri wengine, na ni vigumu kuwapata sababu labda ni wabobezi wa maswala ya IT sana na pia huwa kawaida sio wananchi, wengine wanafanya yao nje ya nchi, ila mkimtafuta mnaona yuko ndani. Technology imekuwa complicated sana hadi inawakoroga serikali zenyewe.
You are now playing psychological game with us.
 
Kenya kuna watu wabaya sana wasioipenda Tanzania.
Mtizamo wako huo kutokana na pita pita zako humu JF, in real, vitu ziko tofauti kwa ground. Watu wengi hawana time ya chuki, ni kazi wanafanya na maslahi ya familia zao kuyakimu, sio kuichukia nchi jirani wakati haimsaidi na lolote lile kimaisha. So, ukizushiana na Wakenya humu, alafu ukafikiri Kenyans tunachukia nchi yenyu, basi unakibarua sana. Maisha lazma yaendelee, hapa tunapita tu!
 
Kwa nini tuache, kama tukiwawahi sawa, tunafunga kila kitu, lakini kama ni mfano wa wale jamaa wa Russia, my friend hata serikali za ughaibuni wanatokwa kijasho pale, sembuse serikali zetu za third world?
Eti Kenya kuna freedom of speech? My foot.
 
Umenishangaza tu ulivyoandika kuwa, "Magufuli alikuwa mtiifu kwa mke wake, watoto wake, familia yake na Jamhuri ya Muungano"

Hivi huo utiifu kwa mke wake umeupimaje? Na umechukua takwimu za toka lini?

Una hakika na unachokinena?
 
Umenishangaza tu ulivyoandika kuwa, "Magufuli alikuwa mtiifu kwa mke wake, watoto wake, familia yake na Jamhuri ya Muungano"

Hivi huo utiifu kwa mke wake umeupimaje? Na umechukua takwimu za toka lini?

Una hakika na unachokinena?
Kinena sina ila ninauhakika na ninachokisema
 
Warudishe tausi wetu tu.
Kama ni kweli tunahitaji kuwa na umoja wa Afrika ya Mashariki ambao ni imara na wenye tija kwa pande zote, ni lazima Kenya ituhakikishie kuwa itapambana na wahalifu watakaokuwa wanafanya cyberbullying dhidi ya viongozi waandamizi wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom