Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kama ni kweli tunahitaji kuwa na umoja wa Afrika ya Mashariki ambao ni imara na wenye tija kwa pande zote, ni lazima Kenya ituhakikishie kuwa itapambana na wahalifu watakaokuwa wanafanya cyberbullying dhidi ya viongozi waandamizi wa Tanzania.
Komaa nao hao washamba wa 254
 
Hizi nazo ni nini? Haya sio magazeti ya Kenya haya? Hizi zinabeba extension .ke hazikusajiliwa Kenya?

=Kenyan Lawyer Reported as Magufuli's Baby Mama Issues Statement | Nairobi Times

=Kenyan Lawyer Alleged to be Magufuli's 'Secret Wife' Speaks | Frontliner

=DRAMA AS MAGUFULI’S BABY MAMA SPEAKS OUT AFTER HIS DEATH. - Challyh News

=Kenyan Lawyer Reported as Magufuli's Baby Mama Issues Statement

=Kenyan lady speaks about a report on her relationship with the late President Magufuli
 
Yatangazwe yakiwa
yameambatana na ushahidi wa kutosha. Kulitangaza jambo bila ushahidi huo ni udhalilishaji tu mkuu.

Huna tofauti na mmoja katika kizazi cha nabii Nuhu kilicholaaniwa baada ya kumuona baba yao yuko uchi.
Badala ya kumfunika nguo akakimbilia kuwasimulia ndugu zake.
 
Huna tofauti na mmoja katika kizazi cha nabii Nuhu kilicholaaniwa baada ya kumuona baba yao yuko uchi.
Badala ya kumfunika nguo akakimbilia kuwasimulia ndugu zake.
Mimi nimeziambia mamlaka ambazo ndio zina wajibu kisheria wa kulishughulikia hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…